Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 990
Umemaliza kaziUkitaka kulog in, kuna sehemu pameandikwa, "Forgot your password?"
Click hapo, kitakuja kitu kama hicho hapo chini, jaza email. Utatumiwa ujumbe kwenye email utaruhusiwa kuweka password mpya.
Ukikwama toa taarifa.
View attachment 1016732
Inabidi alete mrejesho sasa kama imekubaliAkumbuke kujibu hilo swali la Tanganyika+Zanzibar, the akubali pale kwenye terms and conditions.
Msaidie awe anajitungia password nyepesi mfano unaweza kuandika jina lako au unaandika nakupenda mama nkHabarin wapendwa
Nina best angu nafanya nae kazi office moja, amesahau password ya Jf amehangaika mpaka amechoka..
Nikamshauri afungue I'd nyingine Jana kanifata ananiambia vivi nifanyaje jaman, nimefungua Ac mpya ya Jf inakabilibia miezi miwili kila nikiingia inaniambia bado coordinator hajaiproval ifanye kazi.
Msaada jaman nimsaidie best angu, afanyaje anakumbuka username ila password amesahau.
Ana maswahiba wake humu ameshamiss
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliwah nitokea lakin Nina hii ambayo natumia so inakidhi mahitaji so nilisha isahau Best
Msaada kiongozi tumechemka naona hana uhakika na e-mail yke. Cjui unatusaidiajeUkitaka kulog in, kuna sehemu pameandikwa, "Forgot your password?"
Click hapo, kitakuja kitu kama hicho hapo chini, jaza email. Utatumiwa ujumbe kwenye email utaruhusiwa kuweka password mpya.
Ukikwama toa taarifa.
View attachment 1016732
Msaada kiongozi tumechemka naona hana uhakika na e-mail yke. Cjui unatusaidiaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Okey ahsante bestOmba support kwa uongozi, wanaweza kusaidia labda.
Mimi hapo ndo akili zangu zinagomea.