Nimemtumia message hii mpenzi wangu sasa hivi, nisaidieni mawazo

Ebu nipe nur yake nimuulize anajisikiaje kuwa na wewe ktk lv!
 
Sometime we need to give them a time to miss us.............................................
 
samahani kukwambia kwamba ''umeibiwa''!nina uzoefu wa muda mrefu sana na hii michezo na kwa asilimia themanini na tano,mpenzio anakudanganya.kutokuwa hewani ni fursa nzuri kwake kupigwa!long distance hizi!!
 
Duh! pole sana mchemsho. Ila mapenzi yakianza yanakuwa matamu ile mbaya ngoja yakolee utaona chungu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…