AahaaaHuyo kashakuwa Lokole wa pyramid
Tatizo anapenda kuongea na anapenda sana attentionHapo kwenye lugha binafsi nilimjua mapema kuwa uchache wa maneno na Ile kujifunzia mtaani kumemfanya awe na maneno yasiyo sahihi
NB:mbona bangala aliondoka kwa shida zaidi yanga lakini sijawahi kumsikia akiongea neno lolote au kwa kuwa yuko Tz wapo kina Mukoko n.k ye akae kimya hizi team ni za kupita
Ni aina hiyo ya mtu basi ni kuachana nae shida ukiongozwa na mwanamke na ukamsikilizaTatizo anapenda kuongea na anapenda sana attention
Nimemsikia anasema yeye huwa hakai timu moja zaidi ya miaka 2 hata Pyramid mwisho ni mwakani.Katika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea suala lake la mahusiano na timu aliyoichezea, yaani Yanga pamoja na anayoichezea hivi sasa, yaani Pyramids FC.
Katika mahijiano hayo, Mayele ameonyesha kukerwa na comments za mashabiki wawili au watatu dhidi yake au familia yake na kuamua kuibebesha lawama timu nzima ya Yanga kwa comments za watu hao.
Mayele anasema alipojiunga na Yanga alipewa mkataba na aka sign, ali sign sababu alikuwa hajui kiingereza, Manager wake alikuwa hajui Kiingereza na alikuwa anachekacheka tu.
Ulipoisha msimu wa kwanza, ndipo akasmua kubadili Manager na kumtumia Jasmine ambaye kwanza alishangazwa na ule Mkataba. Akasimamia ubadilishwe, akaongezwa mshahara pia ukampa uhuru wa kuondoka ikitokea club inamhitaji.
Amesema aliahirisha kusema live alichotaka kusema sababu Tanzania ameacha watu wake (familia) ila ameshauriana na Jasmine kwamba mwisho wa msimu ndiyo aongee kila kitu.
Hayo sikuona kuwa ni big issue kivile, kilichonistua na alipoiponda hadi timu aliyoichezea sasa. Mayele anasema alipewa Mkataba na Pyramids FC, mkataba ule Jasmine akaukataa, kwa maelezo yake Mayele akasema “waarabu ni wahuni kama usupotumia akili watakukandamiza”.
Hii kauli inatosha sana kumuweka Mayele katika sintofahamu na maboss wake hao wa sasa.
Mayele anaonekana ni mtu anayependa sana social media na attention zake, siyo mbaya ila, anapaswa kuelewea negative na positive effects za social medias. Hivyo awe mwangalifu sana na aongeacho.
Wana Yanga waliokwazika na Mayele ningewashauri wasiyabebe hayo, ni kijana anajipigania, pia kati ya vitu vinavyopelekea kuwa na kauli zile ni limits aliyo nayo katika uelewa na matumizi ya lugha ya kiswahili. Anajifunza Kiswahili the hardway hali inayompelekea kutoa kauli zinazoonekana kuwa ni kero, kukosa ustaarabu n.k ila yote ni sababu ya kuwa na ufinyu wa uelewa wa lugha anayoitumia, maana anajifunza kurusha ndege huku akiendelea kufanya assembling.
Kama angetumia lugha ya kwao au Kifaransa kamwe asinge strugle. Hivyo muleweni tu na mumuache aendelee na maisha aliyoyachagua.
hata wewe kiswahili kinakusumbua japo umeandika maneno mazuri tu,sasa neno kuonyesha sio sahihi,sahihi ni kuonesha ukiandika kuonyesha maana yake ni kuonya,kupelekea sio sahihi maana linatokana na kitenzi peleka,ambacho humaanisha kutoa kitu mahala fulani na kukipeleka sehemu nyingine,neno sahihi ni kusababisha.Ongeza bidiiKatika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea suala lake la mahusiano na timu aliyoichezea, yaani Yanga pamoja na anayoichezea hivi sasa, yaani Pyramids FC.
Katika mahijiano hayo, Mayele ameonyesha kukerwa na comments za mashabiki wawili au watatu dhidi yake au familia yake na kuamua kuibebesha lawama timu nzima ya Yanga kwa comments za watu hao.
Mayele anasema alipojiunga na Yanga alipewa mkataba na aka sign, ali sign sababu alikuwa hajui kiingereza, Manager wake alikuwa hajui Kiingereza na alikuwa anachekacheka tu.
Ulipoisha msimu wa kwanza, ndipo akasmua kubadili Manager na kumtumia Jasmine ambaye kwanza alishangazwa na ule Mkataba. Akasimamia ubadilishwe, akaongezwa mshahara pia ukampa uhuru wa kuondoka ikitokea club inamhitaji.
Amesema aliahirisha kusema live alichotaka kusema sababu Tanzania ameacha watu wake (familia) ila ameshauriana na Jasmine kwamba mwisho wa msimu ndiyo aongee kila kitu.
Hayo sikuona kuwa ni big issue kivile, kilichonistua na alipoiponda hadi timu aliyoichezea sasa. Mayele anasema alipewa Mkataba na Pyramids FC, mkataba ule Jasmine akaukataa, kwa maelezo yake Mayele akasema “waarabu ni wahuni kama usupotumia akili watakukandamiza”.
Hii kauli inatosha sana kumuweka Mayele katika sintofahamu na maboss wake hao wa sasa.
Mayele anaonekana ni mtu anayependa sana social media na attention zake, siyo mbaya ila, anapaswa kuelewea negative na positive effects za social medias. Hivyo awe mwangalifu sana na aongeacho.
Wana Yanga waliokwazika na Mayele ningewashauri wasiyabebe hayo, ni kijana anajipigania, pia kati ya vitu vinavyopelekea kuwa na kauli zile ni limits aliyo nayo katika uelewa na matumizi ya lugha ya kiswahili. Anajifunza Kiswahili the hardway hali inayompelekea kutoa kauli zinazoonekana kuwa ni kero, kukosa ustaarabu n.k ila yote ni sababu ya kuwa na ufinyu wa uelewa wa lugha anayoitumia, maana anajifunza kurusha ndege huku akiendelea kufanya assembling.
Kama angetumia lugha ya kwao au Kifaransa kamwe asinge strugle. Hivyo muleweni tu na mumuache aendelee na maisha aliyoyachagua.
Ni sahihi, alikuja hajulikani akiwa amepauka. Alipofika mjini, akaogeshwa kwa maji ya chumvi ya Dar. Ukoko na utandu ukamtoka usoni, akang'aa. Akaimbwa na akapata ufalme.Hili jamaa ni senge linapenda Sana umaarufu ambao Kwa misri halina kwahy linaona sehemu pekee ya kuoshea ni Kwa vilaza wa Tanzania .
Ni ukosefu wa akili huo ma boss Pyramid wakiona hio interview watapata tafasiri gani? sijui kwanini hajui kipi aongee kipi aacheNimemsikia anasema yeye huwa hakai timu moja zaidi ya miaka 2 hata Pyramid mwisho ni mwakani.
Sidhani kama kuna anayeumizwa kichwa naye. Kinachojadiliwa hapo na aliyoyaongea mwenyewe.Bado ana waumiza vichwa.. Kama ilivyokuwa kwa Fei Toto ndivyo itakapo kuwa kwa wafuatao.....
Utopolo mkiachwa muachike..