Ni hivi wiki mbili zilizopita kuna mdada/mwanamke nilitoka kumfukunyua kufanya nae tendo la kibiolojia,
Sasa leo Asubuhi kanipigia simu kasema nimempa mimba na hiyo ni kwa mujibu wa kipimo alichotumia kujipimia, mimi sikukataa wala kukubali nikamwita hapa gheto kiustarabu kabisa na kwenda nae hapo hospital ya private kuthibitisha hilo asemalo,
Kilichotokea ni kwamba kweli binti ana mimba lakini sasa Mimba ni ya Miezi miwili na mimi nina wiki mbili tu tangu niweke/Nifukunyue mzigo,
Nimemuuliza vipi bado anafikiri mimi nimempa mimba juu ya mimba hii aliyonayo? Yaani ya kwanza ni ya mtu mwingine alafu kuna ya Kwangu juu ya ile ya kwanza,
Naona kakaa kimya hapa hospital kila mtu katoka na kupitia njia yake sasa sijui ndio anaenda kufikiria jibu.
CC Zero IQ
Bado bado kidogo mkuu sema haziwezi kufanya nisitishe huduma zangu nilizokuwa nazifanya.
CC Zero IQ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji32]anataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia
CC Zero IQ
Ahahaaaa dah eti double impactHii hali ni ya kawaida kabisa kitaalam tunaiita "double impact". The condition is very common among petty partners
NGOJA TUONGEZE ZAHANATI PENGINE MATATIZO KAMA HAYA YATAPUNGUA.Ni hivi wiki mbili zilizopita kuna mdada/mwanamke nilitoka kumfukunyua kufanya nae tendo la kibiolojia,