Nimemfuma akitupiga chabo

mods please anzisheni children's corner,wapo wengi kama hawa
 
hapo una ukame wa mwezi
UNAJISIFU TU KIHUNI HAPA

SI AJABU HIZO SPERMS ZIMEKUA VYURA MAANA ZIMEKOMAA

Umeonaeeeh!!! Promo kazini, ashukuru tumeacha kufuatilia mafaili, la sivyo tungemwitia mkuu Tyta
 
Last edited by a moderator:


Chakufanya ni kuacha uzinzi na kumrudia Allah Subhanahu Wa Ta'ala, maana Mola hapendi madhambi unayoyafanza ya kubadilisha makahaba. Audhu Billahi minash shaytanir Rajeem.
 
yaan wewe akili ndo huna kabisa kama unazo basi no za kuazima. ukiwa ndani mtu anayekuona kupitia tundu la funguo huwezi kumuona hata siku moja. sasa hapa umetuonyesha umbulula wako kuwa IQ yako ni ndogo sana
 
Nmeona watu wengi wananionea gere.....kwi kwi kwi
 
thread nyengine bwana sidhani kama zinaandikwa na mtu mwenye akili timamu unajuta ata kwa nini uliisoma.😡
 
Kuna akili ya biashara na akili ya kuvukia barabara lakini zote ni akili
 
Mkuu mm nataka kujua size ya hilo tundu la funguo ambalo ulipoangalia kutokea kitandani ukamuona huyo mama anachungulia
 
yaan wewe akili ndo huna kabisa kama unazo basi no za kuazima. ukiwa ndani mtu anayekuona kupitia tundu la funguo huwezi kumuona hata siku moja. sasa hapa umetuonyesha umbulula wako kuwa IQ yako ni ndogo sana

anazingua huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…