Nimemfuma akitupiga chabo

Sikununu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
341
Reaction score
101
Kweli visa vya mama mwenye nyumba hatari, majungu yake nimeyasikia mpaka mtaa wa saba anasema ooh mie nikiwa nagegeda ninaowagegeda wanalia sana mpaka yeye anasikia raha.

Kuna siku wakati nagegeda msuli ukanibana katikati ya gemu sasa nikawa najinyoosha uku nachomoa dushe kupata balance ya kutoa kwa kusakafia si ndio kumuona kwenye tundu ya karibia na funguo anakula deo la bure nikawa sijaakikisha.

Lakini baadaye akaniambia inaonekana ulijeruhia mbona nimesikia mguno wa kishindo.Yote tisa kumi juzi wakati nanjunja live nmemkuta tena kapigwa na butwaa jinsi nilivomkunja mtoto kisonobali.

Yani aibu mtaa mzima gumzo nifanyeje waungwana
 
Kumbe unawakunja hatari!
 
Huyu ndo sikununu wa gazeti la sani au majina yamefanana?
 
hapo una ukame wa mwezi
UNAJISIFU TU KIHUNI HAPA

SI AJABU HIZO SPERMS ZIMEKUA VYURA MAANA ZIMEKOMAA
 
Sukununu bana...

Ulivyoona huu msimu wa mvua una kiubaridi ndio umeamua kuwanywesha watu chai tu

Kikombe baada ya kikombe unabadili ladha tu...mara chai ya rangi, mara ya maziwa...mara uitie ndimu, saa nyingine tangawizi...iliki mradi tafrani



 
Last edited by a moderator:
Utoto,utoto unasababisha hadhi ya JF kushuka
 
yaani mimi nashangaa sana badala ulete habari za maana unakuja kututambia wanaume wenzio apa (kulaa leki zako) jiangalie
 
Kaeshakolea huyo mwombe gemu hakika nakwambia hatachomoa hasa akikumbuka hizo style zako
 
Huyo mama anakuonea huruma maana michepuko mingine ina ngoma hivyo anakuchungulia kama huwa unatumia kinga wakati wa tendo.
 
Hii ni chai jaba au chai bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…