Habari wanajamvi,
Leo baada ya kula chakula cha mchana, nlichukua toothstick na kukikata kipande kikubwa kias na kusafisha meno kwa kutoa mabaki ya chakula yaliyojishikiza kati ya jino na jino,
Nkiwa na wadau napiga story, nliomba maji ya kunywa huku stoothstick ikiwa mdomoni,
Sielewi ikawaje, nmejisahau, nkajikuta nmemeza ile stick kwa maji,
Ghafla nkaisikia imekwama katika koo,
Nkikohoa itoke ikashindikana, nkaagiza ndizi mbivu na kumeza nkaona imepitiliza tumboni,
Naomba kujua madhara ntakayoyapata ama nini natakiwa kufanya kupunguza madhara km yapo.
Utaitita tu mkuu acha mbwembwe utakwenda kuichunguza kwenye kititio chako cha siku hioJinsia ya kiume mkuu
Pole haina madhara,nliwahi meza gololi tena yny kutu udogoni, digestive system ni nyosso,acha mungu aitwe mungu,utautoa tu baadae na mauchafu mengineHabari wanajamvi,