Nimemcheki Samatta kwenye Game ya Genk vs Anderletch. Samatta hana uwezo wa kucheza England

Msimu uliopita hajachukua kiatu kweli
Hata Suarez wa Barcelona yupo hivyohivyo tu.

Yeye ni kutupia tu na hapo Genk huwaambii kitu na asipopata majeraha ya muda mrefu atakuwa mfungaji bora wa msimu.

The end justifies the means,Dinho na vyenga vyake vyote vile ana Ballon moja tu.
 
Mchawi mtu paka katumwa
 
Samata anacheza popote pale unamuona hakuwa vizur kipindi chakwanza ni kwakuwa aina ya wachezaji anaocheza nao
 
Hater!
England kuna ma striker wabovu sana huwezi hata kuwalinganisha na saad kipanga au Eliuta mpepo
Hivi lukaku unaweza kweli kumlinganisha na samatta?
 
Wewe usiye na bahati unacheza ligi gani?
 
We hujui mpira
 
Chuki zinasababisha vidonda vya tumbo..bora samata amechomoa betri Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…