Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
ahahahahaIyo ni asasi ya nyinyiemu.
Kama hutaki iache hivyo hivyo.ahahahaha
sio kweli!
HAHAHAHAHAWaigizaji wote wako busy na kampeni ya mama ongea na mwanao
HAHAHAHASawa nitajaribu nione [emoji2][emoji2]
HAHAHAHAHongera kwa kuangalia na kuvutiwa na bongo movie
Mm nimeacha kuangalia Zamani sana
Movie ya Mwisho kuangalia ilikuwa Heart attack ,hata ckuimaliza
Ntashukuru mungu movie yenyewe ckununua nilikodi Cd, cyo kwa ujinga ule jamaniiii khaaa
DOH SIO NILIZOANGALIA MIEBongo Movies karibu zote ni HOVYO.
DOHWatoto wazuri tuu wenye chura zao kwangu wanatosha
DOH MBONA MIE NIMEONA VYA MAANA KIBAOKama hutaki iache hivyo hivyo.
Kuangalia bongo muvi nikupoteza muda wako na akili zako kuangalia kisicho na maana.