Haya kakojoe ulale. Midterm zimeisha?go to hell
Sanaaa. What do u expect?Utoto raha.
For sure.Sanaaa. What do u expect?
unakaa kwenu miguu juu unakula na kunywa na unavileta videm ndani.
Hata uwezo wa kufikiri unapungua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningekuwa mimi ningekutupia boksi zima hapo dirishani sipendi ujinga.