Ushauri wa kuvunja walletFuata ushauri uliopewa na watoa huduma.
Zama hizi za UVIKO-19 ni kiashiria fulani kisicho rasmi.Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60
Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi
Ushauri tafadhali mkubwaU.T.I 60 !!!!
Ni kipimo gani hicho kinachoonesha U.T.I 60
Dawa za Hospitali kwa hayo maradhi ya UTI na Typhoid utamaliza dozi na sio rahisi kupona kwani hayo maradhi yamekuwa ni maradhi sugu yasiyo sikia dawa za hospitali. Ushauri wangu usipo pona na dawa za Hospitali nitafute mimi ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.
Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
Mkubwa unamaanisha najisumbua bure kunywa hizi dawa za mabeberuDawa za Hospitali kwa hayo maradhi ya UTI na Typhoid utamaliza dozi na sio rahisi kupona kwani hayo maradhi yamekuwa ni maradhi sugu yasiyo sikia dawa za hospitali. Ushauri wangu usipo pona na dawa za Hospitali nitafute mimi ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
That's just not possible.Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.
Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
Mkuu unamaanisha huyu dokta hajielewi auThat's just not possible.
Stop going to these kind of doctors.
Yeah haiwezekani kila mtu Tanzania anaugua Malaria, Typhoid and UTI.Mkuu unamaanisha huyu dokta hajielewi au
Kwenye nyumba ya kupanga ninayoishi wako watu 6 wote wana tatizo hilohiloYeah haiwezekani kila mtu Tanzania anaugua Malaria, Typhoid and UTI.
Ni incompetence tu hiyo because in practice haipo hivyo.
Kwani haiwezekani mgonjwa kuugua magonjwa hayo matatu Kwa pamoja?Yeah haiwezekani kila mtu Tanzania anaugua Malaria, Typhoid and UTI.
Ni incompetence tu hiyo because in practice haipo hivyo.
Yeah it's possible(although from years za treating sijawahi kuona) but from my practice Typhoid,UTI and Malaria ni vitu very rare sanaKwani haiwezekani mgonjwa kuugua magonjwa hayo matatu Kwa pamoja?
INAWEZEKANA, Vimelea na Njia za maambukizi ni tofauti Kwa Kila ugonjwa.
Hiyo UTI 60 ni HPF au ni nini?Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.
Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
No sidhani hao wana vitu tofauti kabisa.Kwenye nyumba ya kupanga ninayoishi wako watu 6 wote wana tatizo hilohilo
Unataka kusema hakuna mtu mwenye Provisional Diagnosis zaidi ya moja?No sidhani hao wana vitu tofauti kabisa.
Madaktari wa Tanzania sometimes wana disappoint kwenye treatment.
That's a good question because UTI 60 makes no sense at allHiyo UTI 60 ni HPF au ni nini?