Ni takrribani miaka 7 ilipopita nlipoanza kujichua almaarufu kama "Punyeto" mpaka sasa sioni dalili za kuachana na hili janga. Naombeni ushauri wana JF.

Jiepushe kuangali picha zenye fiashiria vya ngono, pia kukaa katika hali ya upweke na kuwaza mambo ya ngono. Unapo jisikia kupiga nyeto nenda kwenye watu upige story, taratibu taratibu utajikuta unaacha, hicho sio kitu cha ghafla kuacha.

Sawa, mwili hua una nguvu sana unapo uruhusu ukutawale. Nikiulize swali, hali ya kutamani kupiga nyeto hua inakutokea katika mazungira gani? ama kipi hasa hua kina kusukuma kupiga nyeto?
Punyeto ina athari kubwa.... Utapokuja kuoa utashindwa kusimamisha on time au ikapoteza kabisa uwezo wa kusimamisha...wakat mwingine ikakupa na kibiongo kabisa..
Sawa, mwili hua una nguvu sana unapo uruhusu ukutawale. Nikiulize swali, hali ya kutamani kupiga nyeto hua inakutokea katika mazungira gani? ama kipi hasa hua kina kusukuma kupiga nyeto?
mkono wako unafanya hizo mishipa kwenye mbo.o iwe sugu hivyo ukiwa na demu hutapata ladha utaona kama k inapwaya.
jitahidi uache hii kitu ni mbaya sana dogo