Kama yeye hajawahi sema ni tatizo wewe kiherehere cha nini? Pengine anarizika!
Mkuu mimi naomba nikupe pole ya dhati kabisa kutoka kwa moyo wangu
asante ndugu nitafanya kama hivyo, asante sana kwa ushauri wako.Go three ways. Kwanza tatua tatizo kabla ya mahusiano. Waone madaktari bingwa wa afya ya uzazi. Wape muda. Ukiona hakuna suluhu wajaribu watu wa tiba lisha pia go spritual. Kwenye ukristo tunaamini kwenye maombi. Inaweza kuwa mapepo.mizimu.uchawi. usiende kwa mganga tafadhali.