Heshma kwenu wadau.Kama heading ilivyo wakuu nimeitwa kufanya usaili nafasi ya programmer.Sasa kama kuna mdau anajua hzo interview zao zinakuwaje amwage desa hapa mana wengne 2memaliza chuo miaka mi 3 ilopita na tumeanza kusahau hayo madude kwa kukaa sana kitaa jaman.Huwa wanatoa general programing language questions au maswali yapoje? Mwenye kujua wadau afunguke hapa.Asante