Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
SawasawaNi siku chache zimepita baada ya kutoka Dubai matembezi ya kufurahisha macho kidogo.
Huku nyumbani nimekutana na Binti mmoja wa kingoni ambaye nilimpenda tokea Moyo ulipomwona Kwa mara ya kwanza.Nilihisi damu imechangamka ghafla na vipepeo wanatembea na kuruka ruka ndani ya tumbo baada ya kumwona Kwa mara ya kwanza.
Basi nikajisemea liwe liwalo ngoja nitupie nyavu.Nashukuru Sana mtoto wa watu kanikubalia japo Kwa mbinde.
Anadai amemaliza chuo ila anasubiri ajira sasa nilichoamua kumfanya ni kumweka ndani ya geto tuishi wote.Nachosikitika ni kuwa Anadai vitu vya gharama na anataka nimtreat kama Malkia.Namfanyia mengi lakini haridhiki.Nimeamua kujiengua haraka Sana kutoka kwake.Nimekataa kuwa mtumwa wake pamoja na kuwa mtumwa wa ndoa.
###KATAA NDOA [emoji3544][emoji3544]
###NDOA NI UTAPELI[emoji3544][emoji3544]
Utajuaje kuwa anakupenda kwa dhati? Mkuu hawa viumbe kwa kuigiza ni hatari.Hajakupenda kama unavyompenda wewe.
Tafuta mwanamke ambae amekupenda wewe zaidi ya unavyompenda yeye, ukimpata wa hivyo hata kukuomba pesa ndogo tu hua wanajishtukia.
Ukifanikiwa kumpata wa hivyo muheshimu na mtunze asipotee. Utakua umeyapatia maisha ya ndoa. Kinyume na hapo ni mateso tupu.
Mtu akiwa na pesa si kwa ajili ya mipango aliyonayo na kuishi anavyoweza? We unaijua chuma ulete ya wadada wa mujini au unasema tu? Atajikuta amebaki anamili p...u..mb....u tuUzi wa kitapeli sana.Umeshindwa kumnunulia alichotaka?Kwani ni bei gani?Haukurudi na mapesa?Au ulikuwa umeenda kufanya kazi za ndani huko ulipoenda?
Kama hela yako haipo kwenye mipango ya akina dada,kaa utulie na ufanye mambo mengine.Kutaka vitu vya bure ni kuchanganyikiwa huku umevaa kwa kupendeza barabarani.Mtu akiwa na pesa si kwa ajili ya mipango aliyonayo na kuishi anavyoweza? We unaijua chuma ulete ya wadada wa mujini au unasema tu? Atajikuta amebaki anamili p...u..mb....u tu
Dalili ya ushogaNi siku chache zimepita baada ya kutoka Dubai matembezi ya kufurahisha macho kidogo.
Huku nyumbani nimekutana na Binti mmoja wa kingoni ambaye nilimpenda tokea Moyo ulipomwona Kwa mara ya kwanza.Nilihisi damu imechangamka ghafla na vipepeo wanatembea na kuruka ruka ndani ya tumbo baada ya kumwona Kwa mara ya kwanza.
Basi nikajisemea liwe liwalo ngoja nitupie nyavu.Nashukuru Sana mtoto wa watu kanikubalia japo Kwa mbinde.
Anadai amemaliza chuo ila anasubiri ajira sasa nilichoamua kumfanya ni kumweka ndani ya geto tuishi wote.Nachosikitika ni kuwa Anadai vitu vya gharama na anataka nimtreat kama Malkia.Namfanyia mengi lakini haridhiki.Nimeamua kujiengua haraka Sana kutoka kwake.Nimekataa kuwa mtumwa wake pamoja na kuwa mtumwa wa ndoa.
###KATAA NDOA [emoji3544][emoji3544]
###NDOA NI UTAPELI[emoji3544][emoji3544]
Astaghifilullah!Dalili ya ushoga