nimechoka

wanawake wengne wajinga sana walitongozana kmyakmya lakn kwenye kuacha linabwata ujinga wake! Watu kama hao dawa yao mimba tu na kulitelekeza

Baada ya hapo mtoto atayezaliwa atakuwa wa nani?
 
Dramatically teh teh
 
kweli umechoka.......ikifika hapo unajiondoa taratibu sio lazima sasa angalia unavyochanganyikiwa
 
Anayechoka hasemi wewe!!!

Wewe unataka kubadili upepo
 
Akikutukana na wewe usimuache......mpe kubwa tu.
Kumpa isiwe kigezo cha kukuzoea!!!!!!
 
saf sana dada umeonyesha wanawake tunaweza mbona wanaume huwa wanatuacha tunakubali hatunganganiii
 
Yaan huyu n malaya kabisa n muuza uchi hana hata haya kuleta ujinga h uu kwenye jukwaa kama hili. Puumbaaaf!..

Pls pls pls, naomba usimhukum hata km kakosea,usimwite hivyo jamani,....pls hefu futa hii kauli my dia
 
wanawake wengne wajinga sana walitongozana kmyakmya lakn kwenye kuacha linabwata ujinga wake! Watu kama hao dawa yao mimba tu na kulitelekeza

Mh,Mgirik, unatisha aisee!
...ss hyo mtt atakaepata shida ni wa nan?
Wanaume kwny hili badiriken hatutaki watt wa mtaani
 
oiyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na mm ni m1 wao eti kijik kimekula hela,kilaki2 unakipa na kukisalit hukisalit then mwish wa siku unakifuma na kinajifanya hakikujui aseeeeeeeeeee ni ma2si mpang mzima maaana inauma ujue ohoooooo yan hapo ndo ku2liza moyo jpo hta akienda aende zke
 
mtoto atakuwa wangu naenda kumchukua lakn atakuwa amekoma kwa7bu kazeeshwa

Hahaha....hakikisha tu haufanyi hivyo kwa binti wa kifipa maana utajikuta huo ujauzito unahamishiwa wewe...
 
Mh,Mgirik, unatisha aisee!
...ss hyo mtt atakaepata shida ni wa nan?
Wanaume kwny hili badiriken hatutaki watt wa mtaani

hahahaaa! Hamna bhana hyo n maneno tu kwana ntamwamin vp afya yake mpaka ifikie hatua ya kuzaa nae
 
Hatupendi habari za umbeya hapa ndani. Mweleze aliyekukwaza. This is your private business. Hatupendi kusoma habari zisizo na kichwa wala miguu.
 
Pls pls pls, naomba usimhukum hata km kakosea,usimwite hivyo jamani,....pls hefu futa hii kauli my dia

kuna wanawake wengne wanakera analeta ujnga kama huu ss tumweweje? Hapo ujue kanymwa hela ya salun na chps kuku na anakuja huku.
 
Hahaha....hakikisha tu haufanyi hivyo kwa binti wa kifipa maana utajikuta huo ujauzito unahamishiwa wewe...

eheee! Naskia wafipa wanatisha kwahlo naskia ukmpa mimba bora ukubali mwenyew lasivyo unapewa ujauzito?
 
eheee! Naskia wafipa wanatisha kwahlo naskia ukmpa mimba bora ukubali mwenyew lasivyo unapewa ujauzito?

Haswaaa...huwa hawana masikhara wale mkuu!!
 
Nungayembe
 
Io post yako peleka fb,pumbafu wee
 
teh teh wejamaa ninouma sana,alie leta ili povu naisi nichangu.

huyo n changu kabisa. Wanawake kama hao dawa yao ndogo sana mpe kitu ajutie kuwa malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…