suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,092
27Miaka yako?
27miaka pls
jaribu kufafanua kidogo...kuna wadogo/kaka zangu wataenda ku google😂😂😂 na wasipate majibuAsiwe ananuka mdomo(cuz napenda sana romance)
Maana yake ni niniunaweza kukwea minazi ?
Sidhani kama tunaendana my dear. Thank you though.
Jitose.Sidhani kama tunaendana my dear. Thank you though.
Nimlipie tena[emoji23][emoji23][emoji23]Jitose.
Mlipie hiyo 2.4 anayodaiwa afu uone kunaendaje.
Si unatuma naulinmefrai sana kukutana na ww mwanamke ambae ana sifa nazozitafta na mm ninazo zote unazotaka.njoo DM kwa mazungumzo zaid ila kama haupo dsm kausha tu