tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,193 Reaction score 29,751 Nov 9, 2015 #1 Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Nov 9, 2015 #2 Embu funguka zaidi mkuu!! Nini kimekupata???
ffoJ JF-Expert Member Joined Apr 9, 2014 Posts 398 Reaction score 535 Nov 9, 2015 #3 Haujasema sababu za msingi za kufanya maamuzi hayo huenda una "sababu za kitoto" au umeathirika kisaikolojia
Haujasema sababu za msingi za kufanya maamuzi hayo huenda una "sababu za kitoto" au umeathirika kisaikolojia
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,397 Nov 9, 2015 #4 tamuuuuu said: Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa. Click to expand... Tobaa!!! haya unataka uoe wapi mkuu? mbona majanga.........
tamuuuuu said: Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa. Click to expand... Tobaa!!! haya unataka uoe wapi mkuu? mbona majanga.........
Nje ya Mada JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,399 Reaction score 491 Nov 9, 2015 #5 Unataka kututombea wake zetu,?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Nov 9, 2015 #6 Sawa usioe
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,903 Nov 9, 2015 #7 Punyeto limekutawala swi?sme
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,249 Reaction score 3,070 Nov 9, 2015 #8 Hiyo id yako na ulichokiandika wala haviendani au ww umeanguka chooni ok labda utakuwa mteja wa kwa macheni kinyume na hapo unawalakini ww
Hiyo id yako na ulichokiandika wala haviendani au ww umeanguka chooni ok labda utakuwa mteja wa kwa macheni kinyume na hapo unawalakini ww
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,626 Nov 9, 2015 #9 Ungeandika nini kimekufanya usioe maana kuna mengi duniani kwa mfano wanaume kuolewa pia.
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,193 Reaction score 29,751 Nov 9, 2015 Thread starter #10 Jueni hivo tu wakuu,na wala usilete matusi na msimamo wangu SITAOA kamwee.Kama unadhani nimevurugwa hebu TAFAKARI utajua
Jueni hivo tu wakuu,na wala usilete matusi na msimamo wangu SITAOA kamwee.Kama unadhani nimevurugwa hebu TAFAKARI utajua
hill and portion JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 1,236 Reaction score 744 Nov 9, 2015 #11 duu nenda kawe padri kabisa umtumikie Mungu
kifimbocheza mtamu New Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Nov 9, 2015 #12 Mmmmh fafanua
scatter JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,671 Reaction score 940 Nov 9, 2015 #13 Nje ya Mada said: Unataka kututombea wake zetu,? Click to expand... post hiz mod hawazioni zakwetu ndio zinaonekana na kufutwa
Nje ya Mada said: Unataka kututombea wake zetu,? Click to expand... post hiz mod hawazioni zakwetu ndio zinaonekana na kufutwa
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Nov 9, 2015 #14 mhhh endelea kutafakari na uchukue hatua. Kama umekwazwa sana na mpenzio jaribu kumrudia Mungu kwa ukaribu maumivu yataisha. Hakuna raha kubwa kama uoe umpendae na akupendae utaishi muda mrefu zaidi kuliko kuwaza kuto oa mkuu.
mhhh endelea kutafakari na uchukue hatua. Kama umekwazwa sana na mpenzio jaribu kumrudia Mungu kwa ukaribu maumivu yataisha. Hakuna raha kubwa kama uoe umpendae na akupendae utaishi muda mrefu zaidi kuliko kuwaza kuto oa mkuu.
as1987 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 1,256 Reaction score 598 Nov 9, 2015 #15 tamuuuuu said: Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa. Click to expand... au ndo unataka kutimiza ule msemo wa waswahili "Kama Maziwa na Nyama unapata Ng'ombe wa nini??
tamuuuuu said: Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa. Click to expand... au ndo unataka kutimiza ule msemo wa waswahili "Kama Maziwa na Nyama unapata Ng'ombe wa nini??
Smokey D JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 2,632 Reaction score 2,114 Nov 9, 2015 #16 tamuuuuu said: Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa. Click to expand... 1-Acha punyeto kijana 2-Uteenager unakusumbua:crazy: 3-Nenda jando kijana😛oa
tamuuuuu said: Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa. Click to expand... 1-Acha punyeto kijana 2-Uteenager unakusumbua:crazy: 3-Nenda jando kijana😛oa
beleza JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 397 Reaction score 144 Nov 9, 2015 #17 Jee akitokea mume akitaka kuowa?
Nje ya Mada JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,399 Reaction score 491 Nov 9, 2015 #19 scatter said: post hiz mod hawazioni zakwetu ndio zinaonekana na kufutwa Click to expand... Unatakaje scatter!? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
scatter said: post hiz mod hawazioni zakwetu ndio zinaonekana na kufutwa Click to expand... Unatakaje scatter!?
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Nov 9, 2015 #20 tamuuuuu said: Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa. Click to expand... Km umeamua hivyo basi usilale hata na Malaya kabisa.
tamuuuuu said: Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa. Click to expand... Km umeamua hivyo basi usilale hata na Malaya kabisa.