Ndoa ni changamotoNimesoma maelezo ya mtoa post,Ila kiukweli ikifikia mtu unatamani mwenzio asafir au achelewe kurudi nyumbani au apitilize alale huko huko hiyo ni dalili kuwa hapo hakuna mapenzi.
Kuna mambo mawili, moja huenda mahusiano yenu sio mazuri Kwa maana upendo hakuna tena,pili umeoa au kuolewa na mtu ambaye sio sahihi yaani hujampenda Kwa dhati,hapo tuwe wakweli ebu chunguza ndoa yako ni ya namna gani mpaka ujihisi hivyo,ukiwa mkweli na nafsi yako ukweli utaupata.
Kuna mchangia mada mmoja amesema yeye hapendi kubanana ktk kulala,ana vitanda viwili,yeye huku na mke Kule Hilo nalo ni kosa lingine,hakuna viumbe wanaopendwa kukumbatiwa kama wanawake,na pili inaongeza Sana mapenzi na inawafanya muwe karibu kisia,unajua mapenzi ni zaidi ya sex,kuna vitu vidogo vidogo vinqongeza MAHABA,je ni mara ngapi unamwambia mmeo au mkeo kuwa unampenda.
Kiukweli watu wengi wapo katika ndoa lkn wapo lonely/wapweke kwakuwa hawapo karibu karibu kihisia na wanaishi kimazoea Tu.
Jifunze kuachaMimi huwa sijui kuachana na mwanamke,huwa tunapotezana tu kutokana na umbali,hata demu wangu wa 2003 bado tunawasiliana
Sasa wakati naoa mwanamke wangu akaanza kunipa mashariti eti niwaambie hao watu wangu wa zamani na marafiki wa kike kuwa nimeoa kila wanaponipigia sm,hik kitu sikuweza maana najua nikiwaambiwa hawatajisikia poa na wakat mwingine mtu anakupigia sm kufurahisha akili yake huenda kachanganywa huko alikokuwa.
Inshu nyingine iliyokuwa inanichosha mpaka sasa inanichosha ni kulazimishwa kuoga kila siku,nipo mkoa ambao hali yake ya hewa ni ya kawaida hakuna joto,sasa siku nazoshinda nyumban na ukute sijafanya kazi ya kunitoa jasho huwa sipendi kuoga kabisa.
Mlezi wa familia.Majukumu yangu ni kuipelekea moto mbususu, kumjaza mimba mwanamke , kulipa ada, kujenga nyumba na kulinda familia kwa ujumla wake.
Wewe jukumu lako kama mke ni lipi
Hata bila kufanya kazi mwili una kawaida ya kutengeneza uchafu kila baada ya muda fulani. Jitahidi kuoga aisee.Mimi huwa sijui kuachana na mwanamke,huwa tunapotezana tu kutokana na umbali,hata demu wangu wa 2003 bado tunawasiliana
Sasa wakati naoa mwanamke wangu akaanza kunipa mashariti eti niwaambie hao watu wangu wa zamani na marafiki wa kike kuwa nimeoa kila wanaponipigia sm,hik kitu sikuweza maana najua nikiwaambiwa hawatajisikia poa na wakat mwingine mtu anakupigia sm kufurahisha akili yake huenda kachanganywa huko alikokuwa.
Inshu nyingine iliyokuwa inanichosha mpaka sasa inanichosha ni kulazimishwa kuoga kila siku,nipo mkoa ambao hali yake ya hewa ni ya kawaida hakuna joto,sasa siku nazoshinda nyumban na ukute sijafanya kazi ya kunitoa jasho huwa sipendi kuoga kabisa.
Ah kumbe mnajua kuwa mume analelewa. Basi wee unafaa kuwa mke. Njoo basi kwangu tuyajengeKulea watoto mume na ada
Sasa kama ni hivyo vizuri kwa hiyo ata mie utanilea au sioMlezi wa familia.
Sasa naachaje kumlea mume wangu jamani 😊😊Sasa kama ni hivyo vizuri kwa hiyo ata mie utanilea au sio
Njoo basi uwe mke wanguSasa naachaje kumlea mume wangu jamani 😊😊
Shida yako wewe huamini katika ndoaNjoo basi uwe mke wangu
Hapana sio hivyo mrembo mie mbona nasaka ndoa kinoma tatizo kupata wanawake wanaotaka kuwa wake na sio wale wanaotaka kuolewa kama ni fashion vizle. Baada ya siku mbili tatu mnaanza mauzi ndani ya nyumbaShida yako wewe huamini katika ndoa
Hapana sio hivyo mrembo mie mbona nasaka ndoa kinoma tatizo kupata wanawake wanaotaka kuwa wake na sio wale wanaotaka kuolewa kama ni fashion vizle. Baada ya siku mbili tatu mnaanza mauzi ndani ya nyumba
Ah wee mrembo achana na comment za jf....njoo nikuwowe upate watoto wako wawili uwe wanipakata na mie huko nanyonya titi🤣🤣🤣Aah wapi, labda kama comments zako zisiwe za ukweli vinginevyo wewe ndoa haikufai.
Mambo? Unachelewa kuoa au kuolewa ndivyo utavyopata matokeo hasi ukishapata ndoa.
1.utaanza kuhisi kilakitu afanyacho mkeo/mmeo anakosea sababu ulishazoea tuvisheria twako.
2.kubughuziwa(to feel uncomfortable)....kuanzia kulala wawili kitandani na kushea anything(uchoyo unaanza hapa)
3.kutamani kuishi pekeyako Tena,kutaman mwenzio asafiri,akienda kazini achelewe kurudi au alale hukohuko[emoji1787],akirudi apitilize kulala ataoga asubuhi[emoji38].
4.Ongezeeni nilivyosahau(kuweni wakweli)
NB:Oaneni mapema kabla akili na mwili havijajizoea kuishi vyenyewe ili msipigane risasi(ndoa ni urafiki)
Jidanganye mkuu Ndoa zinafungwa kila leo!!Tulishakubaliana humu wanaume hatuoi
Ndio tunawasubiri hapa jf tuwapage ushauriJidanganye mkuu Ndoa zinafingwa kila leo!!