ibrahimaugustine19
Member
- Jun 18, 2019
- 22
- 34
too bad kisicho halali (na chenye dhambi) ndicho kitakochokufanya upige pesa fastaMimi siwezi Fanya hivi AISEE coz hata dini yangu hairuhusu hebu nipo mchongo wewe huwa unafanya nini kupiga usd
NILICHOGUNDUA KUHUSU PROPELLER ADS
Propeller ads huu mtandao hulipa bloggers Kutokana na kila mtu anaye tembelea blog yake.toka nijiunge na mtandao huu nimekua Niki ambulia $0.00 kila nikijaribu kuongeza traffic its 0 result so damn!!! Coz it was Tz traffic
So nikawafuata jamaa zangu wa jf wanieleze namna yaku piga pesa nika ambiwa tafuta RSA,UK,USA (tier 1) traffic na traffic hiyo utaipata ktk fb groups za huko nje haya bana nika anza kushare post zangu ktk groups za huko tier 1 traffic bado naambulia 0.01-0.5 daah lakini siku kata tamaa coz nilijua traffic ninayo ipata ni ndogo unakuta 1-10 tu ndio wanaingia
NILICHO GUNDUA!!
Hawa jamaa (wazoefu wa propeller) most of them they share adults content ktk groups za nje na watu hao wa nje watakapo click kutazama content hizo inawapeleka kwingine yaani link wanayo weka ndo hiyo ipo connected na matangazo ya propeller mtumiaji anayo so akiclick wanapiga heraaa maana watu wengi wanapenda ujinga so nyomi LA watu haooo..
Daah so sad,Mimi siwezi Fanya hivi AISEE coz hata dini yangu hairuhusu hebu nipo mchongo wewe huwa unafanya nini kupiga usd
Umechelewa sana kugundua.. Hizo adult content tunaita mipiko[emoji3][emoji3][emoji3]NILICHOGUNDUA KUHUSU PROPELLER ADS