Weka picha na details za camera ili mteja ajiridhishe maana tangazo lako liko plain sana na less convincing.
Biashara ni matangazo boss ili kijiuze mteja sio akufuate na ndio maana hata kunakuwaga na maonesho, yote hii ni kumvuta mteja