Ona sasa....hata kushaurika hamsahauriki π€¨Hututakii mema wewe
Huwezi kumpataKama Mwanamke Anadharau Mishe Zako, Achana Naye..
Kama Mwanamke Ana Heshimu Mishe Zako, Kuwa Na Mahusiano Naye..
Kama Mwanamke Anakusaidia Katika Mishe Zako, Muoe..
Kijana cha muhimu chura, mishe kwani umeambiwa unaoa business partner?Kama Mwanamke Anadharau Mishe Zako, Achana Naye..
Kama Mwanamke Ana Heshimu Mishe Zako, Kuwa Na Mahusiano Naye..
Kama Mwanamke Anakusaidia Katika Mishe Zako, Muoe..
πOna sasa....hata kushaurika hamsahauriki π€¨
NawasubiriaYna2 na konda msafi wanamjua
Nikipata mwanamke mwenye TIN namuoa fastaaaaKama Mwanamke Anadharau Mishe Zako, Achana Naye..
Kama Mwanamke Ana Heshimu Mishe Zako, Kuwa Na Mahusiano Naye..
Kama Mwanamke Anakusaidia Katika Mishe Zako, Muoe..
ulianzisha uz juz kuhusu Sex mbona wamefuta??Mnachagua weeeee na bado mnaishia kupata koroma [emoji57][emoji57]
πππππYna2 na konda msafi wanamjua
ππππ Khumbu kama khumbuMimi nikimpata yule Khumbu wa South Africa naoa kabisa
Alituvuruga wengi akili ππππππ Khumbu kama khumbu
ππππ Ashtakiwe na jamuhuriAlituvuruga wengi akili ππ