nikamfuata huko huko...!!!!

Nique M

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
17
Reaction score
1
Dereva alikamatwa kwa kosa la kusababisha ajari ya watu wa5 aliowagonga. Trafik akamuliza kwanin umewagonga awa watu? Jamaa akajibu,"nilikua mwendo wa kasi sana, alafu nimejaza abiria ndani, gari likawa linakuja mbele yangu nilipokanyaga breki zikakatika, sasa ningefanya nin?" Trafki akamwmbia, kwanin ucngeenda upande ambao una watu wachache ili uokoe wengi? Jamaa akajibu, "nilifanya hivo, huku kushoto alikua m1 na kulia walkua wa4, nikamfuata uyu wa kushoto et akakambilia upande wakulia akazani cjamwona, nikamfata huko huko alipoenda, nikampa kitu mbwa yule"
 
Nilipompa mbaya alisambaratika kichwa palepale, mkono moja huko na mguu mwingine kule. Ndipo wananchi wanyehasira walipo fika na kutaka kuni choma moto na ghafla askari wakafika kuokoa kutoka mikononi mwa raia wasio na huruma.
Eti kamanda, yule jamaa nilie mpa mbaya anaendeleaje!?
 
Yule jamaa alifia palepale ila sasa wewe unakabiliwa adhabu ya kunyea ndoo bila kutawaza kwa mda usiojulikana hadi hapo jamaa atakapopata ufufuo.
 
BAADA YA IBADA YA JUMAPILI
KULIKUA USHIRIKA KANISA
JERANI TU NA BAADA YA MISHE
MISHE ZOTE ZA IBADA BASI WAPASTA WOTE WA MAKANISA HAYO TOFAUTU WAKABAKI ILI
WAWE NA MAHONGEZI PAMOJA
NA KUSAIDIANA KWA KUPANA NJIA YA KUJIEPUSHA NA MAKOSA MADOGOMADOGO AMA KUTUBU
BASI IKAWA KAMA HIVI.

YULE WA KWANZA: MIMI NINAMATATIZO YA KUIBA SADAKA NA ULEVI WA SIRI. NAHOMBA MUNGU ANISAMEE MAKOSA HAYA.

WA PILI: "MIMI NINA FANYA SANA DHAMBI YA USHARATI NA KUDANGANYA WAKE ZA WATU BASI NAMI NISAMEEWE KWA HILO"

YULE WA TATU AKILIA NA HUZUNI MKUBWA NA WENZAKE WAKAJARIBU KUMFAJIRI KWAMBA ASEME TU MATATIZO ALIYOKUA NAYO NA MUNGU ATA SAMEA,
BASI KWA GHAFULA AKA ONGEA KWA "yaani jamani mimi na umbea sijui yani na haya yote tulio jadili na kuzungumza nina uwakika mda mchache kuanzia sasa waumini watayapata yote kutoka kwangu."

KILICHO TOKEA NI MIFADHAIKO MIKUBWA KWA WALE MARAFIKI ZAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…