Crispin sam Member Joined Oct 27, 2015 Posts 49 Reaction score 5 Jul 26, 2016 #1 Jaman nataka kujua zaid kuhusu hii koz ya biomedical engineering Inahusiana na nn na ajira zake zipo ???
Jaman nataka kujua zaid kuhusu hii koz ya biomedical engineering Inahusiana na nn na ajira zake zipo ???
wakisure Member Joined Dec 10, 2015 Posts 44 Reaction score 9 Jul 26, 2016 #2 Crispin sam said: Jaman nataka kujua zaid kuhusu hii koz ya biomedical engineering Inahusiana na nn na ajira zake zipo ??? Click to expand... Ingia google kuna maelezo ya kutosha.. Ukisubiri watu waje wakupe maelezo hapa utakesha na watakukatisha tamaa wengine
Crispin sam said: Jaman nataka kujua zaid kuhusu hii koz ya biomedical engineering Inahusiana na nn na ajira zake zipo ??? Click to expand... Ingia google kuna maelezo ya kutosha.. Ukisubiri watu waje wakupe maelezo hapa utakesha na watakukatisha tamaa wengine
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,048 Jul 26, 2016 #3 Crispin sam said: Jaman nataka kujua zaid kuhusu hii koz ya biomedical engineering Inahusiana na nn na ajira zake zipo ??? Click to expand... umeiona api tuiapply mimbona siioni.
Crispin sam said: Jaman nataka kujua zaid kuhusu hii koz ya biomedical engineering Inahusiana na nn na ajira zake zipo ??? Click to expand... umeiona api tuiapply mimbona siioni.
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 Jul 26, 2016 #4 Kwa kidogo nnachokijua ni kwamba biomedical engineering inahusika na ufundi wa vifaa vya maabara za mahospitalini kwa Tanzania inatolewa diploma tu na ipo DIT pekee Kwa sasa ipo sokoni sana
Kwa kidogo nnachokijua ni kwamba biomedical engineering inahusika na ufundi wa vifaa vya maabara za mahospitalini kwa Tanzania inatolewa diploma tu na ipo DIT pekee Kwa sasa ipo sokoni sana