Hello wana JF
Mimi nimeajariwa kwenye Kampuni fulani hapa Dar ratiba zangu za kazi no holiday or weekend i mean everday nipo kwa job from sa7asubh to saa1 jioni. Namshukuru Mungu mpaka sasa namiliki 2ml. cash.
Sasa nahitaji mnipe mawazo wapi naweza kuenvest hii pesa yang ambapo ntapata faida bila mimi kushriki physical kwenye mchakato mzima.
pesa yangu ipo m-pesa tu imetulia kama maji mtungini
Please kama unaweza kunsaidia kimawazo thanx you alot'