Kuna ushahidi wowote kwamba ulivinunua wewe? Kwa mfano risiti za kununulia au watu waliowaona mnapoanza maisha na wakaona unahamishia vyombo kwake.Habar za jumapil
Wapendwa samahan Kama nawachosha na maisha yangu binafsi naombeen mnisamehe nimapito tu ambayo ipo siku yatakua historia
Ipo hivi nimefanikisha kuachana na jamaa nimerudi nyumban changamoto iliyopo wakati ananioa nilihamia kwake na vitu vyangu
Kabati la nguo
Kabati la vyombo
Kitanda fut 5 na godoro
Dressing table
Stand ya viatu
Jiko la gesi mtungi mdogo japo halitumiki sababu nilikuta kanunua la plate 2
Saboufa
Tv ile ya chogo
Friji ndogo
Deki
Sofa za watu 2 zipo 2
Pamoja na vyombo vingi
Amekataa kunipa nimeenda kwa mwenyekiti kasema mi sijamfukuza Bado nampenda mke wangu naomba anisamehe
Binafsi sitaki tena
Niende wapi nikapate vitu vyangu??
Mi tulivyonunua pamoja sivitaki namwachia
Tulinunua kiwanja tulijenga msingi vyote namuachia
Mi nataka vile nilivyokuja navyo tu
Kadai kaweka walinzi kila Kona nikirudi siku nikibeba tu wanampigia cm
Nifanyeje jmn wapi naweza saidiwa??
Maana mwenyekiti nikama analeta habari za suluhu
Wewe ndio yule uliekua unagaragaza chini kwenye ile video? mleta uzi hamida alikumaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Write your reply...umeona kwa mwenyekiti hakutoshi umeamua uje unitangaze humu nakwaambiaje vile vitu sivitoi mi bado sijakuacha na inahesabika tumechuma wote
Wewe ndio yule uliekua unagaragaza chini kwenye ile video? mleta uzi hamida alikumaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona umebaki na vitu vya hamida kama ukumbusho mkuu, safi sana na usilegeze Uzi haiwezekani akuache kwa style ile braza[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
We chukua gari ingia hapo pakia vitu vyako na uende na mashahidi haswa watu wazima na camera man/woman wa kurecord matukioHabar za jumapil
Wapendwa samahan Kama nawachosha na maisha yangu binafsi naombeen mnisamehe nimapito tu ambayo ipo siku yatakua historia
Ipo hivi nimefanikisha kuachana na jamaa nimerudi nyumban changamoto iliyopo wakati ananioa nilihamia kwake na vitu vyangu
Kabati la nguo
Kabati la vyombo
Kitanda fut 5 na godoro
Dressing table
Stand ya viatu
Jiko la gesi mtungi mdogo japo halitumiki sababu nilikuta kanunua la plate 2
Saboufa
Tv ile ya chogo
Friji ndogo
Deki
Sofa za watu 2 zipo 2
Pamoja na vyombo vingi
Amekataa kunipa nimeenda kwa mwenyekiti kasema mi sijamfukuza Bado nampenda mke wangu naomba anisamehe
Binafsi sitaki tena
Niende wapi nikapate vitu vyangu??
Mi tulivyonunua pamoja sivitaki namwachia
Tulinunua kiwanja tulijenga msingi vyote namuachia
Mi nataka vile nilivyokuja navyo tu
Kadai kaweka walinzi kila Kona nikirudi siku nikibeba tu wanampigia cm
Nifanyeje jmn wapi naweza saidiwa??
Maana mwenyekiti nikama analeta habari za suluhu
kwa pilato tuu.....kama kweli mlifunga NDOANO... na certficate mnayo......ila uwe na sbb za msingi, example....kuruka ukuta, mlevi/kahaba, kichapo kila kuchapo,uhanithi na ukichaa...wataongezea wengine.Habar za jumapil