nifanye nn

Yaani best friend wako ni msichana?? Tena ni rafiki wa gf wako...Kwa kweli enzi zetu hatukuwa ivyo, sina ushauri zaidi ya kukuambia soma kwa bidii!!
 
We mzabzab acha kuzeesha watoto bana kaaaah!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahaha natafuta mrithi wa mikoba yangu so the more i preach to the young ones the better are my chances ya kumpata mrithi wa kuendeleza mambo ya ugegedaji
 
hahaha natafuta mrithi wa mikoba yangu so the more i preach to the young ones the better are my chances ya kumpata mrithi wa kuendeleza mambo ya ugegedaji

duu ..haya bana!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…