susan appie
Member
- May 8, 2014
- 15
- 1
Endelea nadhan naww unafurahia anavyokufanya
eti anamkumbuka na kupata shida sana. Nonsense.
Maisha yenyewe yako wapi uishi unakazwa hovyo kama kuku bila malengo.
habari wana JF mi ni mgeni humu kuna kitu kina nitatiza nina mahusiano na mtu lakini kuna vitu niliobserve nikagundua ameweka mbele zaidi maswala ya sex na haonikani kupanga maswala ya maisha na mimi yaani huwa hazungumzii malengo ya mahusiano yetu kwa kusema kwamba bado muda namuamini sana Mungu napenda kukaa kwenye njia zake ili awe msaada kwenye maisha yangu nilijaribu kuachana na yeye na hakuona shida tatizo nashindwa kumsahau namkumbuka na kupata shida sana najikuta narudi kule kule japo sipendi nifanye nini?
acha kutembea na wavulana tafuta wanaume huyo ni mzigo tayari kama chupi mkononi kazi unayo... sasa muhimu mind setting ndo itakusaidia nothing else... ambia akili yako nataka kuwa hivi nayo itafanya acha kusikiliza moyo
Never follow your heart in this life......habari wana JF mi ni mgeni humu kuna kitu kina nitatiza nina mahusiano na mtu lakini kuna vitu niliobserve nikagundua ameweka mbele zaidi maswala ya sex na haonikani kupanga maswala ya maisha na mimi yaani huwa hazungumzii malengo ya mahusiano yetu kwa kusema kwamba bado muda namuamini sana Mungu napenda kukaa kwenye njia zake ili awe msaada kwenye maisha yangu nilijaribu kuachana na yeye na hakuona shida tatizo nashindwa kumsahau namkumbuka na kupata shida sana najikuta narudi kule kule japo sipendi nifanye nini?
Habari wana JF,
Mi ni mgeni humu kuna kitu kina nitatiza nina mahusiano na mtu lakini kuna vitu niliobserve nikagundua ameweka mbele zaidi maswala ya sex na haonikani kupanga maswala ya maisha na mimi yaani huwa hazungumzii malengo ya mahusiano yetu kwa kusema kwamba bado muda namuamini sana Mungu napenda kukaa kwenye njia zake ili awe msaada kwenye maisha yangu nilijaribu kuachana na yeye na hakuona shida tatizo nashindwa kumsahau namkumbuka na kupata shida sana najikuta narudi kule kule japo sipendi nifanye nini?