nimeona kuna ka menu kapya ka kuangalia namba ambazo zimesajiliwa kwa majina yako..na naona kuna uwezekano wa kufuta usajil.....i think problem solvedSo sad tena kwa 5000
Nini kinafanyika mnakaa mstari wale wanaosajili baada ya kuweka dole gumba wanakwambia mtandao uko down ukikaa sana unaondoka inatengenezwa line safi inakaa pemben
Hako kamchezo wanaweza fanyia watu kumi +/pday na n.kibanda kimo1 tu
Mmsishangae vibanda vya kusajili vimeongezeka ghafla watu wako kazinii
Hapo ndipo wanaanza kuwapiga watu kwa buku tano
Ukijisajili ukaweka dole gumba ndugu kaikikisha unaondoka na line yako.
WANANCHI WA KAWE WANALAANI ACHA HAKO KAMENU MPWAA BALAAA WATU WASHAPIGWA SANA 5000/10000 NA JAMAA WAMEONDOKA BAADA YA KUTANGAZA HAKO KATANGAZO IMEKULA KWAOOnimeona kuna ka menu kapya ka kuangalia namba ambazo zimesajiliwa kwa majina yako..na naona kuna uwezekano wa kufuta usajil.....i think problem solved