Nice house design

Sioni picha za ramani ya nyumba za watu wa chini
 
Naona majumba makubwa tu,mi nataka vyumba vitatu tu,sebule nk
 
Tuna design ramani za nyumba za aina mbalimbali,tunapatikana survey karibu na mlimani city Dar-es-salaam,hapo chini ni sample ya kazi ambazo tumefanya.
kwa mawasiliano
0713450840

Ahsantee.......!!!!


Safi sana. Vipi kama nikitaka design ya garden, garage & tank la juu la maji kwenye kajumba kangu ka kawaida
 
hizo ni sample tu tunachora ramani za aina mbali mbali zinazo kizi mahitaji ya mteja
 
safi sana ila ungeweka na ramani ya mtanzania wa hali ya chini kabisa na wa kati, maana ramani ulizoweka zina wenyewe aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…