Habari wana jamvi...naulizia wanapouza mabaro ya mitumba kwa bei ya jumla kwa dar es salaam. yeyote mwenye kufahamu anijuze tafadhali.natanguliza shukrani.
nenda kitumbini/mnazi mmoja-maduka nyuma ya maduka ya vitenge, au ukifika maeneo hayo (karibu na makutano yenye taa) uliza wanaofanya biashara hapo utaelekezwa, utapata zaidi ya maduka 50.