...ni wanaume wote au....?

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
112
jamani kwanini mwanaume atongoze rafiki wa mkewe? kuna kaka ana tabia hii hivi tatizo ni nini? kah...!!!
 
jamani kwanini mwanaume
atongoze rafiki wa mkewe? kuna kaka ana tabia hii hivi tatizo ni nini?
kah...!!!

kwan hakuna rafiki wa mke alowah kutongoza mme wa rafikie, by the way watu wote hawawez kufanana, huyu msitarab yule waluwalu hapo ndo dunia inakuwa kwenye equilibrium otherwise reaction ingekuwa concetrated kwenye one side afu tungekosa kitu kinaitwa diversity.
 
anataka aonje utamu bana. alafu uzuri ni kwamba atajitaidi sana kuhakikisha haigunduliki kuwa wanagegeda becoz ataonekana kumsaliti besty.
 
nikimgundua urafiki unaishia hapo hapo
 
mwanaume wz hivyo hana maana.....

Anaweza kutongoza hata ukoo wa mkewe...

Na dada binamu zake wote usikute kalamba
 
jamani kwanini mwanaume atongoze rafiki wa mkewe? kuna kaka ana tabia hii hivi tatizo ni nini? kah...!!!

hata mimi ukijirahisi nakutongoza, ingawa si lazima nile mzigo ila ni kukuambia keep a distance, you are maried
 
Sio tu wanaume hata wanawake wapo wenye tabia hii!!!!!
 
Si bora huyo anamtongoza rafiki yako? wengine wanawatongoza ndugu wa mke wake, chezea wanaume weye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…