hapa inamuhusu zaidi mtakatifu ivuga au crashwise...
Mimi nilidhani sielewi pekee yangu kumbe tuko wengi. hivi ni Simba TV au Kipindi cha Simba? Siasa zimevunja milango mpaka kwenye soka. Ndo maana TZ ni 147 na wala hatushutuki kabisa. Kibaya zaidi sikiliza wale maofisa habari wa yanga na simba wanapokuwa wanatoa status za mechi inayofuata majigambo utadhani timu ina akina mesi kumbe ndo hao akina Boko.Jamani kweli soka la bango *limejaa usanii mtupu!!!.Hivi karibuni Simba ilizindua kipindi cha runinga clouds tv.kwa mbwembwe nyiiingi.kwa kkuza *hilo nakuwasahaulisha wanasimba kuhusu uwanja wao walioahidiwa,kina rage wakajiita eti wanazindua tv "Simba Tv". Ukweli ni kwamba *simba wanamiliki show tu na sio tv.show kama *ya *wanawake live ,show ya joyc kiria,Mkasi ya salama j,au Chid benz show ya chidi benzi,au family courty ya judge penny kule marekani na nyingine nyingi,ambapo wao hawziiti tv na wala hawkuzizindua kwa mbwembwe za kuwaalika mawaziri kama ile ya Simba tv ya simba.Mkumbuke Rage anamiliki Redio (voice of Tabora)ambayo hakuizindua kwa mbwembwe hivyo.Mkumbuke mnazindua tv wakati bado hamjamaliza kupaka *rangi jengo lenu.Soka la bongo bado lina safari ndeeeeeefu
tutupie ule wimbo wa Yanga hapa basi tusikilize.
nasikia master anayo dauda jangwani aijafika bado..
sasa kitu gani ambacho hukuelewa ungeuliza vizuri sasa ueleweshwe.mimi nilidhani TV kama TV kumbe usanii tuu!
dauda ndio nani?
jaribu kufichaga uzezeta wako kaka...yaani wewe ndio ulikuwa hujui juu ya huu uzinduzi.kuwa mdadisi kwanza kabla ya ku expose uzezeta wako. sawa?Wamedanganya mashabiki wao masikini, watu mpaka leo wanajua kuna Simba Tv dah! Kwani kuna ubaya gani wangesema wanazindua kipindi?