Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 2,661
- 5,583
Kapige kura umpe chama 😅😅Sisi wanaSimba tuna hasira na Utopolo walichokifanya kwa Mzee Chama!
Sema la wiki sio la CAFCC, na kama kuna mwarabu kwenye hao wachezaji hamtoboi na sisi makoro tunawafanya kama mlivotufanyia kwa ChamaLeo CAF wametoa orodha ya wachezaji wanne wanaowania tuzo ya goli bora hatua ya makundi CAFCC, Hadi kufikia sasa Mudathiri Yahya wa Young Africans anaongoza kwa kura na kura hizo zinachukua masaa 24 tu.
Ni zamu ya Mudathiri
Ni zamu ya Yanga kung'aa CAF
Muda anawania na
. Aymen Mahious wa USM alger
. Aubin Kramo Kouamé wa Asec mimosa
. Paul Acquah wa rivers utd
Goli la Mudathiri alilifunga kwenye mechi dhidi ya TP Mazembe
Let us go Wananchiiiiii[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji817][emoji817][emoji817][emoji95]
Unaweza kupiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC) na Link ipo kwenye bio[emoji3595] ya @yangasc instagram
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko[emoji1666][emoji1666]View attachment 2576485
Chama aje ajifunze hapaLeo CAF wametoa orodha ya wachezaji wanne wanaowania tuzo ya goli bora hatua ya makundi CAFCC, Hadi kufikia sasa Mudathiri Yahya wa Young Africans anaongoza kwa kura na kura hizo zinachukua masaa 24 tu.
Ni zamu ya Mudathiri
Ni zamu ya Yanga kung'aa CAF
Muda anawania na
. Aymen Mahious wa USM alger
. Aubin Kramo Kouamé wa Asec mimosa
. Paul Acquah wa rivers utd
Goli la Mudathiri alilifunga kwenye mechi dhidi ya TP Mazembe
Let us go Wananchiiiiii[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji817][emoji817][emoji817][emoji95]
Unaweza kupiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC) na Link ipo kwenye bio[emoji3595] ya @yangasc instagram
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko[emoji1666][emoji1666]View attachment 2576485
Roho yakuuuumaaaaSema la wiki sio la CAFCC, na kama kuna mwarabu kwenye hao wachezaji hamtoboi na sisi makoro tunawafanya kama mlivotufanyia kwa Chama
Kenge hao wanaumbukaaaa
Nishapiga mkuuLeo CAF wametoa orodha ya wachezaji wanne wanaowania tuzo ya goli bora hatua ya makundi CAFCC, Hadi kufikia sasa Mudathiri Yahya wa Young Africans anaongoza kwa kura na kura hizo zinachukua masaa 24 tu.
Ni zamu ya Mudathiri
Ni zamu ya Yanga kung'aa CAF
Muda anawania na
. Aymen Mahious wa USM alger
. Aubin Kramo Kouamé wa Asec mimosa
. Paul Acquah wa rivers utd
Goli la Mudathiri alilifunga kwenye mechi dhidi ya TP Mazembe
Let us go Wananchiiiiii[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji817][emoji817][emoji817][emoji95]
Unaweza kupiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC) na Link ipo kwenye bio[emoji3595] ya @yangasc instagram
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko[emoji1666][emoji1666]View attachment 2576485
AhaaaahahHaya onyesheni unafki wenu. Simba walipokuwa wanapiga kura mlikuwa mnakejeli, basi potezeeni hili jambo.
Halafu hilo goli la Mudathir, Simba wamelifunga mara mbili toka wakati huo, mara ya pili katika uwanja mgumu kweli kweli kwa timu ngeni kupata goli.
AhahahhKapige kura umpe chama 😅😅
Kwa hiyo tukusaidieje mkuuHaya onyesheni unafki wenu. Simba walipokuwa wanapiga kura mlikuwa mnakejeli, basi potezeeni hili jambo.
Halafu hilo goli la Mudathir, Simba wamelifunga mara mbili toka wakati huo, mara ya pili katika uwanja mgumu kweli kweli kwa timu ngeni kupata goli.
Ungesema tu unapendelea Mayele ashinde nafasi hiyo. Ila usihofu, nimeshapiga kura huko.Kwa hiyo tukusaidieje mkuu
Halafu ilibidi liwepo na lile aliofunga Mayele dhidi ya Real Bamako, maana ile ball receiving, turning and shooting was marvelous
Chama angeshindanishwa kwenye CAF Champions LEAGUE sio aliko huyu kwenye CAF Confederation CUPChama aje ajifunze hapa
Mbona gepu kubwa hapa
Ahàahahah
Aiseeeee
Tunampigia kura Mtanzania mwenzetu.Jambo jema Sana kwa maslahi ya nchi na mchezaji pia
Inamaana chama hajawahi kuchukua hivyo vituzo?Chama aje ajifunze hapa
Mbona gepu kubwa hapa
Ahàahahah
Aiseeeee