ni mtamu lakini bado sjamfaidi

Status
Not open for further replies.
Soma kijana, acha ngono....

Kwani wamekwambia stock ya ngono itamalizika baada ya wewe kumaliza shule?
 
Aisee...saa zingine jamvi linachekesha..
No wonder JF is never boring!
Ushauri wangu wewe mkamue tu mwenzio ila usije kulalamika akikuletea matumizi.
 

Mke wa mtu ni sumu. shule haijakamata bado au ni kudesa kwa kwenda mbele. angalia usiondoke chuoni na degree ya ukimwi
 
Division five(V) finally revealed!! ha ha ha ha sasa hapo unataka nini tukushauri LMAO!!
 
Hapo chuoni ulienda kihalali au ndo za mkubwa wako Mlugo mwenye vyeti O level na A level majina tofuti? Subiri disco halafu unarudi nyumbani na ngoma badala ya Degree
 
Chuo gani hiki kinachofundisha watu wasiojua kuandika? Ukimaliza hapo labda upewe GPA ya five no more!
 
Watu wengine bana,, ameshakuambia kuwa ni mke wa mtu hivyo hawezi kulala nje we ukaenda lala kwake, Ukamaliza haja zako sasa unataka tukushauri nini tena? Kweli mzazi wako kapata hasara kabisa!!
 
Ungejua jinsi Kitaa JUA LILIVOKALI NA NJAA ILIVOBAMBA, Mmmmmmh! Huo muda chuoni unaofanya uzinzi ungeutumia kufanya IBADA KALI SANAA Mwenyezi Mungu akufanyie WEPESI Kidogooo mzigo wako!

Mungu ni mwenye HURUMA bado hujachelewa!
Samahani eti nahisi kama umeokoka ni kweli? maana huyu si Lara 1 wa zamani!!!!!!!
 
Kuna uwezekano division 5 imeanza siku nyingi ee? Chuo gan hicho kinachochukua division 5?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 


Kwa uchambuzi mdogo tu naona nyie wote wawili mnahitaji msaada wa kuwatoa ujingani. Mwanamke mwenye akili nzuri hawezi ku-do na mtu wa type yako hata asingekuwa na ndoa! Na kijana mwenye akili hawezi anika upuuzi wake kama huu kwa watu... Huyu dada amekosea sana na kama akiendelea na huu mchezo ataadhirika mchana kweupe! Kijana bado sana unahitaji msaada ili ukue kifikra, kiakili na hata kielimu kwa sababu kwa hali hii afadhali hata asiyekanyaga mlango wa shule!!!!!
 
Mtakufa kwa ngoma aisee. Una uhakika kapuya hajapita hapo bado?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…