Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Kumbe hakuwa mpenzi wako au hiyo ilikuwa trick kukwepa fedhea
 
Nina Mpenzi ambae ukifanya nae mapenzi Mwisho Bao moja tu mwanzo nilidhani anamahusiano na mtu mwingine lakini sasa na kwenda mwezi wa tano nipo nae lakini ni mwendo wa one show ukilazimisha unakuw ugomvi MKUBWA kuliko..
 
Duuu...kama hizi simulizi ni kweli basi Tz ya viwanda itapatikana
after second phase of colonization.
 
Reactions: SDG
Yan kuna mpare mmoja sitakaa nimsahau nilikutana naye tangaa anapenda diniii yan biblia kila mahali kama kweli vilee ila alikuwa anakuja kila napokuwa kwa gharama zake hadi za hotel analipa dar...tanga...arushaa kuja kujua chanzo cha pesaa zake
 
Reactions: SDG
hahahahaha hii shuhuli pevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…