Ni lazima mwanangu akikua ajue coz ninajuta kumpenda baba yake

 
 
Pole sana na machungu makali!

Kuhusu kumwambia mtoto wako; sijui lengo lako hasa ni nini? Awe bitter kama wewe? Sikushauri, mlee katika mapenzi ili ayajue na ayaishi mapenzi badala ya chuki!

Wewe shukuru Mungu, kwani kuna msemo ambao umetusaidia wengi usemao "it could have been worse". Imagine angekuacha ukiwa na watoto say 3 na ukimwi juu! Shukuru Mungu, bado una afya nguvu na akili! Wangapi wamefiwa na waume zao na wakafight!

Stop being being bitter; simama na uanze upya!
 
[sipafahamu kwao wala yy hapafahamu kwetu.ndo tulikuwa kwenye mchakato nikijifungua aje kwetu then twende kwao ndo turudi nyumbani kwetu dar.
~wazazi wote wawili wanfahamu cc kukaa pamoja.na huwa wanakuja kututembelea
~ckuwahi kutaka kumfikiria hivyo.coz ningeumia kutokana na kumpenda sana.
~kuhusu kupandikiza mtoto chuki siwezi ninachotaka kufanya ni kumweleza ukweli kabla ya yeye kuniuliza baba yuko wapi.








]
 

hayo ndo maneno! Thanks
 
 
Pole. Kabla sijatoa ushauri wng nakulaumu ktk hili "Uliwezaje kujenga urafiki na m2 kwa kipindi cha miaka6 usiweze kufahamu japo chembe ndogo ya kule anakotoka? yani wilaya/ kata(mtaa) anyway hata ndugu zake wa karibu!
Ushauri Huna sababu ya kusubiri mtoto akue na umweleze haya.Hahusiki na kutoelewana kwako na baba yake. Chakufanya jaribu kuwatimia marafiki zake na zaidi ya hayo kama maekuambili hawezi kuja kumwona mtoto mpaka urudi Dar basi ujue anakuita urudi kwako. Tulia usikurupuke, vumilia.
 

dada yangu mimi naamini haki ya kwanza ya mtoto amfahamu baba yake hata kama kuna tatizo///

je wewe ukirudi una sehemu ya kufikia au ndo unatakiwa kufikia kwa huyo bwnaa ??
 

kuna mapungufu fulani kwenye mahusiano yao na naamini kuna jambo limejificha
 
 
 
Wadada wengi tuna matatizo ya kutoelewa anayekupenda na kutamani. Dada haiwezekana huyo mwanaume from no where akudump there is something behind. Nikionacho mimi ila usinielewe vibaya; hiyo mimba ulibeba kwa utashi wako siyo wa mwanaume ndiyo maana hana time na mtoto waa wewe.

Wadada tuache tabia ya kufikiri kwamba ukibeba ujauzito ndiyo mwanaume atakupenda zaidi, tunajidanganya wenyewe matokeo yake tunabaki kuwa maibobo (street women). Chukua hatua, soma alama za nyakati, akupendaye anaonekana na kujai kwa kiwango kikubwa.

Hiyo issue unayosema eti utamwambia mwanao unapoteza muda, zaidi unatengeneza hate kati ya mtoto baba yake kitu ambacho mwanao anaweza kukiona cha kijinga na bado akampenda babake vizuri tu. Na usijidanganye huyo ni babake (original), huna jinsi ya kuwatenganisha.

Pole kwa yote. Fanya kazi kwa bidii, lea mtoto wako!! .
 
Reactions: Mbu
pole mamito..wanaume ndo walivogo...maisha yanaendelea songa mbele usiangalie nyuma mtoto mpe haki yake ya kumjua baba yake but kama baba akijua kuna umuhimu wa kufanya ivo....hakuna kulazimisha siku hizi..pole sana mwaya
 
hivi nani alipendekeza suala la kubeba mimba au ndo yale ya kusema bahati mbaya??? vipi ushiriki katika uleaji wa mimba???
 
....mama acha kushangaa bana, hebu lea mtoto...miaka sita ya raha mustarehe unaitupa kwa miezi saba tu tangu mtoto azaliwe? si keshasema atamlea ukisharudi naye mjini? huwezi jua bana, labda wa mjini weshamwambia mtoto si wake. Una maamuzi ya haraka mno, hebu mpe muda baba mtoto amuone mwanawe bana....
 
pole sana dada,najua unahisi dhiki,tabu,kusalitiwa na mengine mengi hasa ukifikiria kua umegombana na wengi kwa ajili yake,chamsingi kwa sasa weka akili yako sana kwenye kumlea mtoto wako huyo sio mwanamme ambae anastahili chozi lako,mshukuru mungu umetoka salama kwenye uzazi na umetoka salama kwenye mikono ya huyo shetani,kwani huwezi jua nini kingetokea ungekaa nae zaidi,jikaze mama utashindaa wala usijidhalilishe kutafuta tena imetoshe huyu mwanamke wake alovyo kujibu anajisahau kama aliweza kukutenda wewe mama mtoto wake seuze yeye CD..
 

mtoto ana mwezi tu
 
Reactions: Mbu
Ulipenda sana! Ukaacha chuo! Ukagombana na Ndugu! Ukazalishwa! Sasa unajuta.. Unajua smtymes wanawake m2mie akili zitokazo ubongoni si sehemu nyngne! Ulikurupuk mamie ukadhani umefika katika Mikono ya Mungu ukaona u salama. Sasa wajuta. Cha kukushaur Pokea tu maumiv uliyojitakia kwa kutokufahamu au kutokujifunz hapo Mwanzo.
 
 
[tulikubaliana wote coz tulikaa muda mrefu na kipindi chote tulikuwa mm na yeye tu.tukaona tuongeze familia ambayo ni mtoto. Matokeo yake nimebaki lonley]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…