Gwaks makono
Senior Member
- Aug 27, 2011
- 110
- 16
cna
xaxa
x boi
nlsafir
tatizo ni vocha? Au wino umeisha?
Utamuua nani hata kuandika haujui.
anaweza akajiua au asijiue........naomben msada wenu gt nina gf wngu nlsafri bila kumuaga akakasirika cna akasema cmpendi wala kumuheshimu kma ex boi wake nilikasirika cna nikamwambia nimepata gfriend mngne ambae nitamuoa.aliniomb msamaha nikamsamehe lakn akasema nimtamkie kwamb nampenda na mim nimekataa.anatishia kujiua n kwel inaweza kutokea au ananitisha tu!
naomben msada wenu gt nina gf wngu nlsafri bila kumuaga akakasirika cna akasema cmpendi wala kumuheshimu kma ex boi wake nilikasirika cna nikamwambia nimepata gfriend mngne ambae nitamuoa.aliniomb msamaha nikamsamehe lakn akasema nimtamkie kwamb nampenda na mim nimekataa.anatishia kujiua n kwel inaweza kutokea au ananitisha tu!

miaka 25 kwa 20!Wewe na huyo hawara wako mna umri gani?
dah kaunga umeniweka njia panda nitafanyia kazi Questionaire zakoNikuulize
swali ambalo yeye mwenyewe kakuliza.
Je unampenda?
Pia, suppose ni yeye kasafiri bila kukuaga, ingekuwa poa?
Najua ulimjibu kuwa umepata GF mwingine, ni kweli? Kama sio what were
you trying to prove to her?
Ushauri wangu, muache tu huyo binti, hatajiua she will live na atakuwa
strong; wewe hustahili binti mwenye mapenzi deep kama ya huyo
binti!