Ni bahati au laana?

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Polen wadau wa MMU,jamani mwenzenu nimechoshwa na mitongozo ya watoto wa kike kwangu kila nikicheka na mtoto wa kike 2 bhas lazima ataniambia nakupenda niomba niwe mpz wako,mpaka sasa nimeamua kuwa kauzu kuepuka shali kwa marafik zangu maana imeku too much,sasa najiuliza hv hii ni BAHATI au LAANA?Hebu niambien kama ni bahat niwatendee haki na kama ni Laana niendelee kuwa kauzu.
Asanten
 
Hivi hizi mambo bado zipo.......hilo jina futa dume bakiza faru tu...
 
Hivi wew sindo uliwahi kuja na uzi huu, bado tu wanakupaparikia au Unapiga promo
 
PROMO UNAJIPA tunaomba uwasiliane na uongozi wa JF ulipie
 
Na Ukishakuwa/toka nao Itakusaidia nn!!?

Tulia ww kua na m1 acha papara
Coz kutongozwa haina maana ndo utoke nao wote
 
ni bahati mkuu ndomana humu wengi wanaona wivu hakuna asiyetaka kupendwa ila unatakiwa kuwa na mmoja
 
Hapa umepata wangapi?
Kwan hauna faru jike?
 
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…