Savior ruther Member Joined Oct 15, 2017 Posts 14 Reaction score 12 Oct 16, 2017 #1 Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.?? Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na ikaonekana umeshakuwa muathirika.?
Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.?? Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na ikaonekana umeshakuwa muathirika.?
goodfool JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 1,668 Reaction score 996 Oct 16, 2017 #3 goodfool said: Joseevr Click to expand... Nafas ya mtu
goodfool JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 1,668 Reaction score 996 Oct 16, 2017 #4 Saviortz said: Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.?? Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na ikaonekana umeshakuwa muathirika.? Click to expand... Wanasemaga kuanzia wiki3, hadi siku 90, Najua umepita mahal Au ni assignment ya prof
Saviortz said: Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.?? Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na ikaonekana umeshakuwa muathirika.? Click to expand... Wanasemaga kuanzia wiki3, hadi siku 90, Najua umepita mahal Au ni assignment ya prof
Savior ruther Member Joined Oct 15, 2017 Posts 14 Reaction score 12 Oct 16, 2017 Thread starter #5 goodfool said: Nafas ya mtu Click to expand... Kwa hiyo inaoekana mda wowote..?. Hata mda huohuo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Oct 17, 2017 #6 Pole mkuu aisee...wahi hospital ukacheki fasta
ricksily Member Joined Mar 9, 2017 Posts 89 Reaction score 109 Oct 17, 2017 #7 Kuna kipimo kinaonyesha afta 2 weeks, nmekisahau jina Ila kwa vipimo vingi vilivyozagaa mahospitalini ni after 3 months!
Kuna kipimo kinaonyesha afta 2 weeks, nmekisahau jina Ila kwa vipimo vingi vilivyozagaa mahospitalini ni after 3 months!