Skyblue Senior Member Joined Jan 3, 2014 Posts 196 Reaction score 55 Jan 6, 2014 #1 Jamani vipi kuhusu tangazo la kazi NHIF ambalomwisho wake ilikuwa dec 27 washaanza kuita? kwa wanaojua nijuzeni jamani. Nawasirisha
Jamani vipi kuhusu tangazo la kazi NHIF ambalomwisho wake ilikuwa dec 27 washaanza kuita? kwa wanaojua nijuzeni jamani. Nawasirisha
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Jan 6, 2014 #2 Skyblue said: Jamani vipi kuhusu tangazo la kazi NHIF ambalomwisho wake ilikuwa dec 27 washaanza kuita? kwa wanaojua nijuzeni jamani. Nawasirisha Click to expand... una umri gani?
Skyblue said: Jamani vipi kuhusu tangazo la kazi NHIF ambalomwisho wake ilikuwa dec 27 washaanza kuita? kwa wanaojua nijuzeni jamani. Nawasirisha Click to expand... una umri gani?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 6, 2014 #3 tulieni tutawaita.
U Uyole12 JF-Expert Member Joined Oct 3, 2010 Posts 595 Reaction score 176 Jan 6, 2014 #4 Hizo sio leo hadi mwezi wa sita na mtaitwa woteeee mlioapply ndio utaratibu wao ondoa shaka ukishafanya written kama hauna kimemo sahau kupata kazi Nhif HATA KAMA UNAUJUZI WA AINA GANI.
Hizo sio leo hadi mwezi wa sita na mtaitwa woteeee mlioapply ndio utaratibu wao ondoa shaka ukishafanya written kama hauna kimemo sahau kupata kazi Nhif HATA KAMA UNAUJUZI WA AINA GANI.
Skyblue Senior Member Joined Jan 3, 2014 Posts 196 Reaction score 55 Jan 6, 2014 Thread starter #5 Ahsante sana kwa kunijuza
K karrote Member Joined Oct 22, 2013 Posts 15 Reaction score 2 Jan 6, 2014 #6 Kijana ya kweli hayo?maana mie pia nasikilizia sasa unaposema hadi June nakuwa kama sikusomi