Ngwea:
ishakuwa soo mtaani kashfa kibao, ngwea nshaamua sasa milupo NO, nahitaji honey, mwandani aendani nami, kuanzia tabia mpaka vitu flani, yaani ikiwezekana apandishe mpaka majani na asiwe anaboreka anapokuwa nami, awe
Daz Baba:
Mwenye lips paana...
Ngwea:
Ndio moja ya vitu ambavyo vinanchanganya sana na
Daz Baba:
Akicheka ana mwanya
Ngwea:
Sintokuwa na la kufanya zaidi ya kumpenda sanA...Ngwea