Nguvu za kiume

Hahahaha Dada hamnaga dawa ya nguvu za kiume.

Wewe tafuta kazi nyingine ya kufanya...

Huo unaofanya ni wuizi msaghane
Tamo'nteghilya Omosaghane alang'aina abhaghaka aaaiii ! ! !
 
Dawa ya Nguvu ya kiume ni pesa tu . Huwezi kuwa na Nguvu za kiume na ma- stress ya maisha, kuhusu bao la pili inategemea na mvuto wa mpenzi wako.
Huu mfano mdogo tu nipo nachat na sister wangu kuhusu x wake kwa kweli wanaume wa dakika 5 kamaliza mnadhalilika chukueni hatua mapema
 
Wacha utapeli.fanya kazi."awamu hii sio ya ujanja ujanja".
 
Mambo yanayopelekea mwanaume kuonekana hana nguvu za kiume
1. Stress
Mwanaume mwenye msongo wa mawazo hawezi kushughulika kikamilifu hata iweje.
2. Mwanaume kutoka kufanya kisha kutakiwa kufanya tena, bila ya huyu wa pili kujua mwenzake ameshatoka kufanya muda si mrefu ohoooo, agaaaah
3. Harufu mbaya ya K na mauchafu yanayowatoka yale meupe na mengineyo, huwa yanakata hamu za mwanaume kuendelea kufaidi tunda
4. Magonjwa ya ngozi ambayo mengine huwaachia makovu kovu mwilini mwenu enyi Ke, mwanaume amevutiwa na umbile lako ndani ya tight au dera, akienda kukumimina, ziwa laporomoka hadi kiunoni, mapaja kama ya amba nani yule eeee huyohuyo, hamu kwishinei
5. Woga wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa
6. Hofu ya kwamba uzinzi ni dhambi
7. Wasiwasi asije akafumaniwa
8. Mwanamke kutokuwa romantic kitandani, hujui kupetipeti, full kufeki feki mahaba
9. Mwanamke unaingizwa la yuyu wewe unamsukuma muingizaji, badala ya kujilegeza, wewe unapambana asiingize, huwa inawakata stimu wanaume
10.Mwanamke kuleta stori za hovyo kitandani, mara vaa kondomu tusije peana ukimwi, ohaaaa agaaah, unaleta mambo gani tena, si useme nisije kukupa mimba, chamsingi lengo la kuvaa kondomu litimie

Mambo mengine yanayosababisha ukosefu wa nguvu hizo nazo ni
1. Porno
2. Magonjwa ya kisukari
3. Pombe kali
4. Punyeto
5. Kutokufanya mazoezi
Hawa wakipiga simu kuomba dawa sawa, ila hao hapo juu, acheni ujinga, mtaliwa hela zenu bure.
 
Mleta mada kuna uhusiano gani kati ya "lasting longer" na kutia mtu mimba? Nilidhani hata sekunde tu inatosha kutia mtu mimba. Kinachotakiwa ni.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…