Consultant na Liverpoolfc inaonekana mmechanjia damu na Gang Chomba. Hamtaki kukubali kuwa 'players come and players go', yaani 'wachezaji huja na wachezaji huondoka'. Kwa sasa Ronaldinho ameshafunikwa na dogo kama Messi na Neymar. Au tunaweza kusema amewakabidhi mikoba.