X-zhibit.
PIMP your ride
Wanajanv,nilikua napitia blog mbalimbali za kupendezesha magar nikakuta kuna majamaa wao unapeleka gari af wanafanya modification ya shoo yoyote ya gari utakayoitaka wanakutengenezea ktk gari ako,mfano niliona toyota gx 100 imewekewa aud q7 style,je kwa bongo wapi wanaweza kufanya ivo???
Nenda wa wachina.
Btw, nimeipenda hiyo CRESTA Q7!!!!!!!!.....limekuwa kama jipu! hahahahaha, kaazi kwelikweli!
Wachina wapi?? Unauhakika wanafanya ivo??
INgoja nikutaftie mawasiliano, they can do better than that! Na sijui huyo kichaa mwenye kubadilia GX100 kuwa Audi Q7 kama kweli akili zake zilikuwa timilifu, inawezekana vipi SEDAN ifanane na SUV?!!!!!!!...ndiyo maana nikasema imefanana na Jipu!