Thubutu ukainvest kwenye nchi za magharibi halafu ukatae kuweka shares zako kwenye masoko ya hisa za nchi hizo ili wale wanaotaka kununua hisa hizo katika nchi hizo waweze kufanya hivyo kirahisi.
Kama wanataka kuinvest Tanzania basi ni lazima Watanzania wanaotaka kununua shares zao waweze kununua shares hizo kirahisi na hili litawezekana tu kama shares hizo zinapatika katika Dar Stock Exchange na si vinginevyo.
Hii sio kweli! Nchi gani ya hiyo inayokulazimisha kulist kwenye stock exchange yao?
Na sioni ni jinsi gani exactly watu watafaidika kwa hii sheria, kuwa na shares za Voda haina maana kuwa lazima ufaidike wakipata faida, kampuni yenyewe ndo inaamua kama itatoa dividends.
Kwenye shares kuna risk, watu wakiingia hasara watakuja kulalamika humu kuwa wameibiwa!
Sijasema kwamba tunahitaji kufanya investor awe happy bali tunahitaji kutengeneza mazingira ambayo yenyewe yatachochea uwekezaji. Hapo nyuma nimesisitiza tu kwamba hapo wanayaandalia mabenki na mifuko ya pensheni namna ya kuwekeza mitaji yao na si wananchi wa kawaida.Serikali yetu inaboronga kwenye mambo mengi,mfano uhakikishaji wa nishati nchini kw awawekezaji wa ndani na nje,uboreshaji wa miundombinu n.k.LAKINI hili la listing ni uamuzi mzuri sana..,
Nchi nyingi za ASIA,ambazo ni asilimia kubwa ya nchi zilizotoka kwenye umasikini kwenda kwenye afadhali in the past 30 years ni kati ya zile zilizokuwa na UDHIBITI mkubwa sana kwa foreign incestment at the begining...,
ngoja niikupe mfano..,ili yahoo iweze kuoperate china imeibidi iingie partnership na kampuni local,kwa 51%-49%(as all foreign companies in china have to).sio kwamba yahoo isingeweza kuopertae bila local company.nop it is because it is required by LAW.same applies to all famous companies you see in investing in CHINA.did they leave?no,why?market,demand and other factorrs..,ofcourse wapo walioondoka,wale walioshindwa.walioweza wanafanya biashara..,they are not very happy but they sure do get profits.
we don;t need to mae investors HAPPY all the TIME.We have done enough of that.
Sijasema kwamba tunahitaji kufanya investor awe happy bali tunahitaji kutengeneza mazingira ambayo yenyewe yatachochea uwekezaji. Hapo nyuma nimesisitiza tu kwamba hapo wanayaandalia mabenki na mifuko ya pensheni namna ya kuwekeza mitaji yao na si wananchi wa kawaida.
Haya makampuni yanaamua kulist na yapo controlled kutoka nje. Ghafla unatokea mtikisiko unadhani nini kitafuata kama si hasara isiyo na mathili? Unakumbuka wale jamaa wa TV. Baada ya headquarter yao kutangaza kufilisika na Tanzania hali ilikuwaje. Tujijengee uwezo wananchi waanzishe makampuni Tanzania na wao wenyewe waone haja ya kulist kabla ya kuwang'ang'ania foreigners walist. Tena wananchi wakiwa na uwezo foreigners wenyewe watataka kujiunga. Mf Ernst n Young na Massawe etc.
Huko Asia investment strategies zao zimebadilika saana yaani wamerelax saana sheria zao.
BAK hapo umenena maana kampuni yenyewe ndiyo inatakiwa ione umuhimu na lengo kubwa zaidi ni kupunguza exposure inayotokana na currency fluctuation na pia wanakuwa wanahitaji capital ili waexpand operations zao.Wamelazimishwa kwa sababu walikuwa hawataki Watanzania nao wafaidike na hizo faida kubwa wanazovuna. Hata siku moja huwezi kusikia kampuni kubwa ya Japan ambayo inataka kuinvest US isione umuhimu wa kulist hisa zao katika NYSE.
Ni kweli kwamba hisi pia hupoteza thamani (depreciation in value) lakini mara nyingi hisa huongeza thamani. Pia siyo kweli kwamba ili kufaidika ni lazima kampuni itangaze kugawa dividends. Shareholders wanaweza pia kufaidika kama thamani ya shares zao imeongezeka na kuamua kuziuza. Kwa mfano hata kama kampuni haijatangaza dividend shareholder aliyenunua shares kwa U$4 na zikaongezeka hadi kufikia labda U$30 akiamua kuuza hapo faida yake ni $26 kwa kila share atakayoamua kuiuza ukiondoa capita gains tax ambayo hutozwa katika nchi nyingi za magharibi.
Kuna kampuni ambayo watu walinunua share moja kwa $3 na baada ya miaka michache ziliongezeka thamani hadi kufikia juu kidogo ya $400. Wengi waliamua kuziuza shares zao kwa wingi na kupata faida kubwa sana na wengine kuamua hata kuretire kitu ambacho hawakudhani kama wangeweza kukifanya katika muda mfupi ujao. Na hii kampuni ilikuwa bado haijagawa dividends kwa shareholders wake.
Kwa maoni yangu huu ni ubaguzi tu wa haya makampuni makubwa kukataa shares zao kuwa listed katika DSE kitu ambacho hawawezi kukifanya NYSE au London Stock exchange maana kwa kuuza shares zao wanaongeza pia pato lao na hivyo kuweza kuexpand zaidi au kuongeza ubora wa bidhaa zao.
Nami pia nimeuliza swali langu hapo. Hivi makampuni yote ya Tanzania yana capital ya kutosha hadi tulazimishe makampuni ya simu? Kwanini tusiwawezeshe hawa walist kwa kutengeneza sheria zinazofanana na hali yetu?Kwanini Watanzania binafsi ambao wana uwezo wa kununua hisa za makampuni hayo wasiruhusiwe kufanya hivyo?
BAK hapo umenena maana kampuni yenyewe ndiyo inatakiwa ione umuhimu na lengo kubwa zaidi ni kupunguza exposure inayotokana na currency fluctuation na pia wanakuwa wanahitaji capital ili waexpand operations zao.
Watu wanakariri kwamba mara nyingi hisa huongezeka value basi wasingekuwepo investment managers. Kuinvest ni kama kugamble na kama ilivyo biashara nyingine unaweza ukapata faida au hasara. Huo ni mfano wako mmoja wa faida ipo mifano mingi ya hasara. Hebu fuatilia performance S&P 500 from 2000 t0 2010 utaona nini kilitokea. Ila ukianzia 1950 utaona faida. Kwahiyo issue ya faida huwezi kuiita mara nyingi. Kwa tanzania waulize watu wa TOL.
Ubaguzi upi hapo au policy ya nchi yetu mbovu? Hebu angalia inflation, exchange rate risks etc. Hivi unadhani mitaji yao ilipatikana kwa kukopa Tshs. Watengeneze sound fiscal and monetary policy ndiotuendelee. Otherwise mkiendelea kulazimisha watu wataondoka, mtapoteza ajira na hamna mtaji wa kutosha kuinvest basi ni balaa
Wamelazimishwa kwa sababu walikuwa hawataki Watanzania nao wafaidike na hizo faida kubwa wanazovuna. Hata siku moja huwezi kusikia kampuni kubwa ya Japan ambayo inataka kuinvest US isione umuhimu wa kulist hisa zao katika NYSE.
Ni kweli kwamba hisi pia hupoteza thamani (depreciation in value) lakini mara nyingi hisa huongeza thamani. Pia siyo kweli kwamba ili kufaidika ni lazima kampuni itangaze kugawa dividends. Shareholders wanaweza pia kufaidika kama thamani ya shares zao imeongezeka na kuamua kuziuza. Kwa mfano hata kama kampuni haijatangaza dividend shareholder aliyenunua shares kwa U$4 na zikaongezeka hadi kufikia labda U$30 akiamua kuuza hapo faida yake ni $26 kwa kila share atakayoamua kuiuza ukiondoa capita gains tax ambayo hutozwa katika nchi nyingi za magharibi.
Kuna kampuni ambayo watu walinunua share moja kwa $3 na baada ya miaka michache ziliongezeka thamani hadi kufikia juu kidogo ya $400. Wengi waliamua kuziuza shares zao kwa wingi na kupata faida kubwa sana na wengine kuamua hata kuretire kitu ambacho hawakudhani kama wangeweza kukifanya katika muda mfupi ujao. Na hii kampuni ilikuwa bado haijagawa dividends kwa shareholders wake.
Kwa maoni yangu huu ni ubaguzi tu wa haya makampuni makubwa kukataa shares zao kuwa listed katika DSE kitu ambacho hawawezi kukifanya NYSE au London Stock exchange maana kwa kuuza shares zao wanaongeza pia pato lao na hivyo kuweza kuexpand zaidi au kuongeza ubora wa bidhaa zao.
Ni kweli kuwa share value inaweza kuongezeka, lakini inaweza kupungua pia, lazima uangalie pande zote mbili kabla ya kufanya investment. Kuna watu wengi wamepoteza life savings zao kwenye stock exchange.
Juzi juzi tu watu walikuwa wanalalamika humu kuwa shares zao zimepungua thamani, nadhani zilikuwa za NMB sikumbuki vizuri..
Kampuni zinalist kwenye stock exchange ili kupata capital, yaani ni business decision inayoiletea kampuni manufaa, hawajalazimishwa.
Sasa tukianza kulazimisha tunaondoa process nzima ya maamuzi ya kibiashara, kuna kampuni zengine za simu utakuta hazipo fit kulist kwenye DSE, zikifilisika mtawaambia nini wawekezaji?
Tunaendelea kuonekana laughing stock
Tanzania: Local Mobile Firms Shocked By New Bill
4 February 2010
Tanzania's parliament yesterday passed a bill that will make it compulsory for mobile firms to be listed on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
The Citizen reports many members of parliament, before passing the bill, accused mobile phone companies of treating customers unfairly and denying the government billions of shillings in taxes.
Godwin Ngwilimi, legal and regulatory affairs head of Vodacom Tanzania Limited, said the new legislation takes the country back to the era of nationalisation when individuals were forced to sell their companies or shares to the government.
Minister for Communication, Science and Technology, Prof Peter Msola, said the Electronic and Postal Communication Bill 2009 is aimed at establishing a legal framework for providing regulations to electronic communication service providers.
Once the bill becomes a law, telecommunications firms will be required to offer shares to the public. They will also be required to list with the DSE within three years after the Act comes into force.
Sijui criteria gani ilitumika kuamua "within three years" instead of 12 or 18 months.

Nadhani ndani ya miaka hiyo 3, investors wengi watachomoa. Nadhani Zain wanaweza kuwa wa kwanza. Yaani wakati nchi nyingine inaencourage investors siye tunakaa na kuweka vikwazo. Msisitizo wangu ni ule-ule. kwanini wasiwawezeshe watanzania kulist makampuni yao?Sijui criteria gani ilitumika kuamua "within three years" instead of 12 or 18 months.
Hii hypothetical thinking ndiyo iliyofanya watu wapitishe mswada. Kila nchi inawahitaji investors. Hatujajitosheleza kabisa na ndio maana tuna import saana na makampuni ya kigeni yamekuwa mengi. Hivi wakiondoka investors hali itakuwaje? Vodaphone wameweze kulist kutokana na mazingira ya soko husika ila kwa soko la tanzania kulist ni ngumu saana hebu angalia turnover ya soko lenyewe.It is not true kwamba tunawahitaji foreign investors sana kuliko investor wa ndani nchini mwetu. Kama kampuni ni public company kama Vodaphone etc kwa nini wanawaogopa investors wazawa? Hapa inaashiria kitu kimoja. Kuna ulaji mkubwa wa kutisha na wanaogopa watafichuliwa maovu yao. Mbona mambo yako poa tu huko western countries kwenye maswala ya public companies.
Hoja ya bei kupanda na kushuka hilo ni swala la investor halimuhusu mtu asiyeweka investment yake.