kwa kweli ata mimi nimesikitishwa na zile kampuni tulizozani zinamkumboa Mwafrika kwa kutoa simu zenye gharama nafuu nazo zimejikita kwenye high end smartphones, ukiangalia tecno, gionee, blu, na nyinginezo zote zinatoa smartphone za juu ya dola 350. hapa kwa watu wa hali ya chini hawawezi kumudu hii bei.. im juss saying