Yah naisubiri kwa hamu hiyo OS, wametoa pia upates mpya kwa OS iliyopo, mfano wameongeza feature ya iMessage kwenye Mac. Now, watumiaji wa Mac wana uwezo wa kutuma message kutoka kwenye Macbook kwenda kwa mtumiaji yoyote anayetumia iphone au iOS device. Inakuwa kama some sort of BBM ya Apple