mh mi siamini sana hizi kazi za magazeti mana uta apply hata 100 zitafika, cha kushangaza hata kuitwa huitwi, bora hata matangazo ya ajira za serikali uwezekano wa kuitwa upo, au nyie wadau mnaonaje mana mi ni graduate nimetuma barua sehemu mbali*2 karibu 50 sijaona mafanikio