New huawei y300 for sale.

igugo mkuu!

Kwani ipo dukani mkuu?? si imeshapigwa vumbi la hapo uswahilini kwenu, achilia mbali vidole vyako kuishikashika, kuiangusha na kuiwasha tu, hapo sijataja kuitumia. so picha ya google si sawa. labda specs kidooogo.. tho nayo sikuamini!
 
Kwani ipo dukani mkuu?? si imeshapigwa vumbi la hapo uswahili kwenu, achilia mbali vidole vyake kuishikashika, kuiangusha na kuiwasha tu, hapo sijataja kuitumia. so picha ya google si sawa. labda specs kidooogo.. tho nayo sikuamini!
Ulikuwa wap kukoment pumba zako hapa tayari wenye hela wameshainunua!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…